Baada ya kuoga unaanza na kiungo gani cha mwili wako kupaka mafuta

KACHINJA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,263
Reaction score
869
Kama kichwa kinavyojieleza, binafsi naanzia mikononi wewe vipi?
 
Uzi tayari?

Ila kama mwanasimba kamata tiketi mapema
 
Tatizo ni tozo au nini maana si kwa mawazo haya
 
Mwanaume unajipaka mafuta matakoni...[emoji848][emoji848]
Unachokitafuta utakipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…