Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Wakuu hivi ni halali baada ya kuolewa ukachukuwa kila kitu ulichokuwa nacho nymbani kwenu na kilichokuwa mali yako na kukipeleka kwa mumeo tofauti na zile zawadi ulizopewa kwenye Kitchen Party na sendoff?

Kama kitu nichako kwanini usichukue?
Kwa habari ya nguo, hiyo haisemeki kabisa, maana obviously ni zako, huwezi ukawaachia wazazi!
Kwa mambo ya vyombo, ina maana kama unavyo vyombo vyako binafsi, basi inaonyesha ulishaanza kujiandaa na maisha ya mbele, kwahiyo huna sababu ya kuacha kitu.
Wanawake wengi sana huko uswahilini wanaadhirika sana kwasababu wanaenda kwa mabwana bila hata ya kijiko. matokeo wakikorofishana, anachukua mifuko ya rambo kwajili ya nguo tu!
kanini kuwe na kuachana , ndoa ni kulindana hadi mwisho , tumia vyako na vya mwenzio, ukihesabiana hivi ni vya nani , utakuta hata kujenga ni kwa siri , na mambo yote ya maendeleo ni siri , aminianeni nenda na vyako msianze moja tena,
[marriage is for soldiers!!!!!!!!!!]
inategemea, mie nilienda me na nguo zangu, mambo mengine niliwaachia wazee wangu, tukaenda kuanza upya.
kanini kuwe na kuachana , ndoa ni kulindana hadi mwisho , tumia vyako na vya mwenzio, ukihesabiana hivi ni vya nani , utakuta hata kujenga ni kwa siri , na mambo yote ya maendeleo ni siri , aminianeni nenda na vyako msianze moja tena,
yeye ni sehemu yako-kwanini haendi na wewe kwenye nyumba ndogo?Hata usingeolewa manake ungeishi peke yako vitu vyako bado ni vyako. Ukiolewa unaunganisha vyako na mwenzio mnakua na vyenu. Pale sasa panakua kwenu sio kwa mumeo,ulikotoka ndio kwa wazazi/walezi. Otherwise maana ya ndoa itakua ni kumwona mume kama third party katika maisha yako wakati yeye ni sehem yako. Mpe kila kitu kama yeye anavyotoa kila kitu kwako. Peaneni hapo nyumbani kwenu wawili nyie!
Kama kitu nichako kwanini usichukue?
kAKA Jimmy wengine masikini jamani kwahiyo dada akiolewa wadogo zake wanasubiri siku anaondoka awaachie nguo, vyombo vya ndani n.k sio sawa na wale mambo safi ambao wakiolewa wanaongezewa na vitu vingine vikawasaidie yeye na mkewe
yeye ni sehemu yako-kwanini haendi na wewe kwenye nyumba ndogo?
mpe kila kitu kama na yeye anavyotoa kila kitu kwako--fafanua ndugu yangu au utashambuliwa humu ndani kuna wanawake ambao wanaume zao kitu pekee wanachowapa ni dudu, vingine hakuna, utasikia tu, na wewe si unapokea mshahara
Sipo....mmmm hebu afafanue hiyo kupewa kila kitu ina limits bwana!
wengine wanalazimisha kupewa department B wakati wenzao hawataki...ndio chanzo mojawapo cha kukimbia ndoa mkuu
inategemea, mie nilienda me na nguo zangu, mambo mengine niliwaachia wazee wangu, tukaenda kuanza upya.
hehehehe department B ukionana na mtu ambaye anaipatia utajuuuuta kwanini ulikuwa huitumiii ngoja nikamate Konyagi kwanza nina kiu mbaya Safari zimeadimika kijiweni.
Sipo....mmmm hebu afafanue hiyo kupewa kila kitu ina limits bwana!