hahahaaa! kuna situations haziwezekani mdada kuondoka na vitu vyote home, imagine alikuwa home ambapo hali ni ya kawaida sana, akaamua kubadilisha tv, ile mbayambaya akaweka chumbani kwake, then sofas, then makabati labda, then akanunua jiko la gas kuondoa adha ya kupikia mkaa na mafuta ya taa, sasaakiondoka na vitu hivyo ndo kusema anarudisha vile vya zamani ku-replace au?
kama alikuwa ananuna vitu na anavitumia mwenyewe chumabani au aliamua kujibinafsisia sevant quarter thene anaweza kuondoka navyo tu, haisumbui.