Baada ya Kuona CCM hakuna jipya GENTAMYCINE natangaza rasmi kurejea Nyumbani CHADEMA ambako sasa ndiyo Kumenoga

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hakuna Kitu ambacho nakijutia hasa kama pale mwaka 2015 nilipopoteza kabisa muda wangu na Kuhamia CCM huku nikikiacha Chama changu pendwa cha CHADEMA na Mgombea wake mzuri Edward Lowassa.

Hivyo basi Kuanzia leo na hivi sasa GENTAMYCINE najivua nafasi zangu zote ndani ya CCM na natangaza rasmi Kuhamia CHADEMA ambako ndiko Moyo na Roho yangu vimelala kwa pamoja.

Naombeni mnipokee na mnipe Ushirikiano wenu ili tuking'oe CCM Madarakani.

Nawasilisha.
 
Tupia na picha tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri masaa 2, kama tangazo ya "My account has been hacked" halitatoka ndo nitaanza kukoment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Mimi ndo genta huyu jamaa amehick account yangu mi bado niko usalama na ccm,please ignore this
 
Hakuna Kitu ambacho nakijutia hasa kama pale mwaka 2015 nilipopoteza kabisa muda wangu na Kuhamia CCM huku nikikiacha Chama changu pendwa cha CHADEMA na Mgombea wake mzuri Edward Lowassa.

Hivyo basi Kuanzia leo na hivi sasa GENTAMYCINE najivua nafasi zangu zote ndani ya CCM na natangaza rasmi Kuhamia CHADEMA ambako ndiko Moyo na Roho yangu vimelala kwa pamoja.

Naombeni mnipokee na mnipe Ushirikiano wenu ili tuking'oe CCM Madarakani.

Nawasilisha.

Mkuu ni wew kweli au ni utani tu????[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...karibu kwenye chama la Wana...[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom