GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakuna Kitu ambacho nakijutia hasa kama pale mwaka 2015 nilipopoteza kabisa muda wangu na Kuhamia CCM huku nikikiacha Chama changu pendwa cha CHADEMA na Mgombea wake mzuri Edward Lowassa.
Hivyo basi Kuanzia leo na hivi sasa GENTAMYCINE najivua nafasi zangu zote ndani ya CCM na natangaza rasmi Kuhamia CHADEMA ambako ndiko Moyo na Roho yangu vimelala kwa pamoja.
Naombeni mnipokee na mnipe Ushirikiano wenu ili tuking'oe CCM Madarakani.
Nawasilisha.
Nasubiri masaa 2, kama tangazo ya "My account has been hacked" halitatoka ndo nitaanza kukoment.Hakuna Kitu ambacho nakijutia hasa kama pale mwaka 2015 nilipopoteza kabisa muda wangu na Kuhamia CCM huku nikikiacha Chama changu pendwa cha CHADEMA na Mgombea wake mzuri Edward Lowassa.