MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Aziz K ni kama Chumvi tu mbele ya Chakula cha Chips kilichopo mbele yako ila Clatous Chama ni Tomato Sauce mbele ya Chips.
Chumvi ( Aziz K ) huwa si lazima sana Kutumika na Mlaji tena hasa akiwa anakula Chips kwakuwa hata Kisayansi Viazi vina Chumvi fulani ila hakuna anayekula Chips ambaye hatotaka au hatopenda kuwekewa Tomato Sauce ( Clatous Chama ) ili akifurahie hicho Chakula.
Nawatakieni kila la Kheri wale ambao mtakuwa mmenielewa vyema katika Mfano huu wa Chumvi ( Aziz K ) na Tomato Sauce ( Chama ) katika Chakula cha Chips ambacho kinaliwa na 75% ya Watanzania.