Baada ya kuona Nguvu Kubwa inatumika Kumpamba Aziz K dhidi ya Chama ngoja nimalize Ubishi leo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Aziz K ni kama Chumvi tu mbele ya Chakula cha Chips kilichopo mbele yako ila Clatous Chama ni Tomato Sauce mbele ya Chips.

Chumvi ( Aziz K ) huwa si lazima sana Kutumika na Mlaji tena hasa akiwa anakula Chips kwakuwa hata Kisayansi Viazi vina Chumvi fulani ila hakuna anayekula Chips ambaye hatotaka au hatopenda kuwekewa Tomato Sauce ( Clatous Chama ) ili akifurahie hicho Chakula.

Nawatakieni kila la Kheri wale ambao mtakuwa mmenielewa vyema katika Mfano huu wa Chumvi ( Aziz K ) na Tomato Sauce ( Chama ) katika Chakula cha Chips ambacho kinaliwa na 75% ya Watanzania.
 
Punguza kula kande
 
Popo maa wajionaje hali! Unaonekana unapenda sana chipsi weye.
 
Tutake radhi kijana, 75? Chips?????
Kama wewe ni me! Basi ni mwanaume wa dar.
 
Kwa mtu mwenye akili ya kutosha atakuwa kakuelewa kwamba hakuna chakula kitalika bila chumvi.Umetumia satire kuwazuga makolo wenzako,hongera sana.
 
Kuna mtu anacheza shirikisho la waliofeli [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Your browser is not able to display this video.
 
Gentamycin usimfananishe Azizi K na yule kinyonga wenu Chama, Chama anakuwa bora kwa mechi dhaifu mechi yenye kutumia nguvu na yenye speed huyo chama wako hana ubavu nazo ndiyo maana makocha wa kigeni wenye kupenda timu itembee chama huwa wanamweka benchi matokeo yake mashabiki wanamchukia kocha.
 
Jamaa spidi ya konokono ndiyo maana alishindwa Morroco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…