maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
Habari za jioni Great thinkers!
Kwanza kabisa napenda kusema kwamba mimi si mtaalamu sana wa maswala ya silaha,sio mwandishi mzuri makala.
Baada ya jana au juzi hivi Russia kufanya mashambulizi ya kule Ukraine na kuona jinsi ambavyo silaha mpya ya Russia inavyo hit target kuna mambo mengi nilitafakari sana. Lakini kutokana na watu wengi humu jukwaani kupenda kujadili mambo kishabiki nikaamue nitulie Kwanza. Maswali yafuatayo nilijiuliza na ningependa kupata majibu humu maana ni jukwaa la Great thinkers.
1. Kati ya USA na Russia 🇷🇺 nani alikuwa mbele ya muda.
2. Je kuna uwezekano wowote ule USA kuzitumia Carriers zake endapo ataingia vitani na Russia ili zimsaidie kushinda.
Mimi binafsi naona Marekani Carriers zake ingezibadirishia tu matumizi kwasababu ukiangalia lengo ya hizo Carriers haziwezi kumsaidia katika vita ya sasa labda ipigane na nchi dhaifu lakini sio kwa RUSSIA, CHINA, NORTH KOREA pia hata IRAN nina uhakika asilimia 100 ana uwezo wa kuzizamisha mapema tu.
Soma Pia: Oreshnik: Silaha mpya tishio iliyotumiwa na Urusi. Hakuna mfumo unaweza kuzuia duniani, isipokuwa S550 wa Urusi wenyewe
Mwisho nawashauri USA 🇺🇸 wasione aibu wazitumie tu kwa ajili ya uvuvi wa samaki kwani zitawanufaisha sana kuliko kusubiri wazitumie kwenye vita wataambulia kupata hasara tu