Baada ya kuonekana ndani ya IST, Wanazengo wamshutumu Mama Diamond ushirikina

Baada ya kuonekana ndani ya IST, Wanazengo wamshutumu Mama Diamond ushirikina

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Video inayozagaa kwa sasa , ikumuonyesha Mama Diamond akipanda gari aina ya IST huku pembeni parking ikiwa imejaa magari ya kifahari, imezua hali ya sintofahamu kwa wapenda ubuyu na kuuliza kulikoni Mama wa star nambar one bongo apande gari hiyo ambayo mara nyingi inatumiwa kama Uber mjini .

Usafiri huo ambao ulikua unaendeshwa n mume wake uncle shamte umezua minon’gono mjini huku watu wakidai huenda hayo ni masharti ya Mganga ambayo anafuata.

Mwaka Jana kwenye birthday ya mama huyo , alizawadiwa gari aina ya V8 yenye thaman ya mamillion ya kutosha, hivyo wadau walishtuka why Mama huyo mpenda mashauzi mjini aamue kutumia usafiri bubu....


Ila wanazengo na nyie acheni nongwa, sasa hiyo V8 mlitaka awe anaenda nayo kila sehem? Isitoshe ligari linaboa , ni kubwa n na ina consume too much diesel , it’s not comfortable kila sehem kutembea nalo hata kama ana misele yake ya hapa na pale .

Kuhusu mama D kutumia usafiri huo nadhan ni maamuzi tu , sidhan kama ni mambo ya ushirikina ingawa bi kidude inajulikana ni mshirikina mzuri tu .
 
Duh 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hata wasafi fm ni kama redio ya familia tusubiri miaka kama 5 itafika wapi
 
Nilidhan amerud shule International School of Tanganyika labda ndo ingekua habari.

semper fidelis
 
Acheni roho mbaya na kuombeana mabaya. Utabaki na roho yako ya kichawi wakati wenzako wana tusua Maisha.


Hata wasafi fm ni kama redio ya familia tusubiri miaka kama 5 itafika wapi
 
Back
Top Bottom