Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
NI GHETTO LANGU TUU LINALO WAZINGUA MADUU LINA NIPA CHAT KIJITONYAMA MPAKA EAST ZUU
Maisha ya ghetto matamu jaman alafu maduu wanalikubali ghetto langu mpaka sielew an..
Hebu nambieni niongeze nn na nn apa ili ghetto langu lizidi kuwa bomba zaid..
Ukiona wivu na ww kapange ghetto lako uliboreshe liwe zuri kama hili langu