sitaki hela
Member
- Oct 10, 2022
- 93
- 117
Mh, Rais ameshatoa Takwimu sahihi za sensa kulingana na vyanzo mbalimbali na utaratibu uliofuata,Sasa kilicho Baki ni jukumu la serikali kuhakikishainapanga bajeti yake kulingana na idadi ya watu,shida moja tuliyo nayo sisi watazania ni kupinga Kila jambo,zoezi limeisha,tuzidi kumpa kiongozi wetu moyo WA kulitumikia Taifa
Twende tu hivyo hivyo , ili mradi tufike
Mabingwa wa kupika takwimuOhoooo !!
Kulikuwa na haja gani ya mkoa wa Iringa kugawanywa na kupata mkoa wa Njombe kama Njombe yenyewe ina approximately watu laki nane tu na Iringa milioni moja tu ?Mikoa ni ivyo yaani.
View attachment 2403486