Baada ya kupigwa ban ya mwaka nimerudi kihivi

Duh!!! Pole sana na BAN, tena ya mwaka mzima. Karibu tena Mkuu. Kufanya kosa si kosa ila kurejea kosa ndio kosa. Natumai umejirekebisha.
 
Duh!!! Pole sana na BAN, tena ya mwaka mzima. Karibu tena Mkuu. Kufanya kosa si kosa ila kurejea kosa ndio kosa. Natumai umejirekebisha.

kweli mkuu nimejifunza sirudi tena kushiriki kwenye zile mada za uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…