Najaribu kujiuliza hivi mchakato wa kupata katiba mpya si lazima utaanza kwa kupata maoni ya watanzania ili kujua kama kweli wanahitaji katiba mpya?
Kama kutatakiwa kupata maoni ya watanzania ni tume gani itasimamia hizo kura za maoni, ninaamini kama tume itakayosimamia kura za maoni itatokana na uteuzi wa baba Ridhiwani kuna uwezekano wa kusikia 95% ya watanzania hawataki katiba mpya. Subirini:drum:
Kwa mfano wakiulizwa wazee wa Dar es Salaam?
Kitu chochote ambacho mtu hakijui..........ukimuuliza kuhusu hicho.tegemea jibu la kubuniNajaribu kujiuliza hivi mchakato wa kupata katiba mpya si lazima utaanza kwa kupata maoni ya watanzania ili kujua kama kweli wanahitaji katiba mpya?
Kama kutatakiwa kupata maoni ya watanzania ni tume gani itasimamia hizo kura za maoni, ninaamini kama tume itakayosimamia kura za maoni itatokana na uteuzi wa baba Ridhiwani kuna uwezekano wa kusikia 95% ya watanzania hawataki katiba mpya. Subirini:drum:
KATIBA MPYA LAZIMA
Mchakato wa katiba mpya lazima ufanyike. Asijitokeze mtu akafikiri yupo juu ya sheria. katiba ni ya wananchi. Ninatumai kwamba katiba mpya itakuwa mwanzo wa maendeleo ya wa tz. Pamoja na kutoifahamu vizuri katika hii inayokwendakubadilishwa bado wananchi wameifahamu kwa namna moja au nyingine kupitia utendaji wake. kwa mfano swala la kutokuwa na tume huru ya uchaguzi. haya ni mapungufu ya katiba na wananchi wanajua....swala la raisi kuwa na madaraka makubwa...haya ni mapungu ya katiba na wananchi wanajua...swala la uwakilishi bungeni...haya ni mapungufu na wananchi wanajua...swala la watendaji wa mikoa na wilaya kuchaguliwa na raisi haya ni mapungufu na watu wanajua...nk nk......Katiba Mpya haiepukiki.....Tuandae mchakato na ushirikishe wananchi wote.....ikiwezekana....tuige utaratibu wa kenya
Najaribu kujiuliza hivi mchakato wa kupata katiba mpya si lazima utaanza kwa kupata maoni ya watanzania ili kujua kama kweli wanahitaji katiba mpya?
Kama kutatakiwa kupata maoni ya watanzania ni tume gani itasimamia hizo kura za maoni, ninaamini kama tume itakayosimamia kura za maoni itatokana na uteuzi wa baba Ridhiwani kuna uwezekano wa kusikia 95% ya watanzania hawataki katiba mpya. Subirini:drum:
Najaribu kujiuliza hivi mchakato wa kupata katiba mpya si lazima utaanza kwa kupata maoni ya watanzania ili kujua kama kweli wanahitaji katiba mpya?
Kama kutatakiwa kupata maoni ya watanzania ni tume gani itasimamia hizo kura za maoni, ninaamini kama tume itakayosimamia kura za maoni itatokana na uteuzi wa baba Ridhiwani kuna uwezekano wa kusikia 95% ya watanzania hawataki katiba mpya. Subirini:drum:
pia wakienda kuulizwa maprofesa na wanafunzi wa chuo cha kata UDOM!![/QUOTE]
hawaitaki hawa