mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,169 Reaction score 9,054 Jan 1, 2011 #21 Hakuna swali au mjadala kuhusu kama mnataka ama hamtaki katiba mpya Swali lililopo ni jinsi ya kupeleka maoni yako Kuhusiana na katiba mpya nini kiongezwe /kifutwe au yaliyopo yafutwe yote yaandikwe mapya SAWA dogo;?
Hakuna swali au mjadala kuhusu kama mnataka ama hamtaki katiba mpya Swali lililopo ni jinsi ya kupeleka maoni yako Kuhusiana na katiba mpya nini kiongezwe /kifutwe au yaliyopo yafutwe yote yaandikwe mapya SAWA dogo;?
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Jan 1, 2011 #22 Msiwasemee watz bwana ngoja mchakato uanze
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,169 Reaction score 9,054 Jan 1, 2011 #23 Njowepo said: Msiwasemee watz bwana ngoja mchakato uanze Click to expand... Uanze? wakati umeesha anza!
Njowepo said: Msiwasemee watz bwana ngoja mchakato uanze Click to expand... Uanze? wakati umeesha anza!