johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi kweli watalii watakuja na corona hii , au tunaaminishwa tu. Kwa siku kumi sijasikia zaidi ya ndege iliyotoka ugiriki na watalii wanne, mi sijui
Kwa mawazo yake anafikiri Watalii wanaletwa kwa kuangalia video.....!!?Waziri wa utalii Dr Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote.
Dr Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia.
Juzikati bunge lilimshutumu Dr Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha kumbe hawakujua ubunifu mkubwa uliofanywa na Kigwangalla utakaoliongezea taifa fedha za kigeni.
Source: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!
Wazungu wengi wamechoshwa na habari za corona,wanataka kupumzisha mwili na akili,nadhani utakua umepata majibuHivi kweli watalii watakuja na corona hii , au tunaaminishwa tu. Kwa siku kumi sijasikia zaidi ya ndege iliyotoka ugiriki na watalii wanne, mi sijui
Habari hiyoHivi kweli watalii watakuja na corona hii , au tunaaminishwa tu. Kwa siku kumi sijasikia zaidi ya ndege iliyotoka ugiriki na watalii wanne, mi sijui
Sidhani kama hii ni sababu tosha kaka.... Utalii unaanza pale unapokua na surplus income, pili usalama wa mgeni. Mgeni akishakua na hayo atafikiria kusafiri na si kwa sababu wamekaa ndani mda mrefuWazungu wengi wamechoshwa na habari za corona,wanataka kupumzisha mwili na akili,nadhani utakua umepata majibu
You got it right.Tuwe realistic hapa kufungua mipaka these are political gestures that will have little impact on the arrival of the volumes of international tourists required to fire up the engines of this vital industry.....
Kuna issues nyingi sana hazijakaa sawa, mosi international flight kutoka katika nchi zinazoleta wageni, pili uchumi wa hao wageni umeyumba, tatu insurance companies nyingi bado zinahofia kutoa coverage especially kwa nchi ambazo their efforts to manage the crisis zinatia shaka.
Bwashee vuta subra kidogo......midege itaanza kutiririka kuelekea KIA!johnthebaptist,
Bwashee lile dege lililokuwa likivinjari pale KIA lilipotelea wapi? Halafu bwashee juzi gazeti lenu la Lumumba lilikuja na habari ya anga kuchafuka kwa midege ya watalii mbona mnatuangusha? Tuleteeni madege bwashee.
Bwashee ile video si mchezo lazima waje!johnthebaptist,
Ngosha unathibitishia watu kwamba sasa watalii watamiminika kwa sababu ya hiyo move ya Kigwangala?
Tupe link ya video tuione tushare iwafikie wengi kusaidia utalii wetuWaziri wa utalii Dr Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote.
Dr Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia.
Juzikati bunge lilimshutumu Dr Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha kumbe hawakujua ubunifu mkubwa uliofanywa na Kigwangalla utakaoliongezea taifa fedha za kigeni.
Source: ITV Habari
Maendeleo hayana vyama!