Viti maalum hupewa chama kutokana na idadi za kura za kiti cha urais.
wamefanya hivi makusudi ili kupendelea chama kinachoshinda kupata idadi kubwa ya viti bungeni ili kuongeza wingi wa wabunge hasa kwenye ile miswada tata inayohitaji kuliburuza bunge kuipitisha.