GE2025 Baada ya kushinda kesi viongozi wa NCCR Mageuzi warejea kazi kuendelea na majukumu yao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi wametangaza rasmi kurejea katika ofisi za chama hicho baada ya miaka miwili, kutokana na mgogoro uliokuwa unaendelea ndani ya chama hicho uliosababisha kuenguliwa kwa uongozi uliokuwepo.

Akizungumza na waandishi wa habari Julai 07, 2025 Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara ambaye pia ni miongoni mwa viongozi waliokuwa wameenguliwa, Angelina Mutahiwa amesema kutokana na mgogoro huo waliamua kufungua kesi mahakamani na walishinda.

Baada ya mahakama kumpa ushindi James Mbatia (Aliyevuliwa Uenyekiti na uanachana) walifanya taratibu zote ikiwemo kuwasiliana na uongozi uliokuwa madarakani na zilipo
Your browser is not able to display this video.
kamilika, wakaamua kurejea ofisini rasmi.

Mutahiwa amesema siku chache zijazo Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia atatangaza mipango yote ya chama kuelekea uchaguzi mkuu na hatua zinginezo.
 
Duuh kazi kwelikweli
 
Mkuu ww n mtangazi wakituo flani hee Cha redioo😀😀😀
 
Joseph selasini asipokamatwa na kufungwa kwa Utapeli nitashangaa sana
 
Msajili yuko honey moon na baby wake Lembrus Mchome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…