Elections 2010 Baada ya kushindwa atolee uso wake wapi?

Ujifunze kuona na kuishi kwenye ukweli na sio kuishi kwa ndoto za mchana (Alinacha)

Kibunango wewe unajua in the heart of hearts kuwa Jakaya ameiba uchaguzi huu na ndio maana hata nyie mashabiki mmeshindwa kuselebukia ushindi huu kama ilivyo desturi yenu!!
 
Mwanakijiji anaishi kwenye dunia ya "perpetual optimism" lol
 
Tunawahitaji watu kama Mwanakijiji angalau nusu ya media zote hapa TZ ili tupige hatua otherwise unachuki binafsi
I LIKE THOSE WHO POST ISSUES TO MAKE ME THINK CRITICALLY AND REALIZE THE TRUTH.
Bigup MKJJ
 
Punguani nyie leteni issue za maana za kujadili sio huu upuuzi wenu, then ukishajua wapi anapoishi mzee mwanakijiji what next???!!! wezi wakubwa wa kura nyie!!!
anataka kuliwa t*go huyo si bure....
 
Tufanyagaje sasa?

Ukiwa kwenye mtumbi unaonazama hata kama bua likionekana basi unaweza kudhani linaweza kukuokoa. CCJ ilionekana kuwa ni moja ya dalili ya gogo linaloelea kwenye mtumbwi uliokuwa unaelekea kuzama. So mwanakijiji was being realistic.
 
:smile-big: Wamwache apumzike mzee wa watu! Ni kama mechi za mpira kuna watu waliwahi kuhamia Bolton baada ya timu ya kufululiziwa vipigo! Hivyo basi nae alipata mbadala wa kisichokuwapo. BTW: SIASA ZA TANZANIA WATU WANAFUATA MASLAHI:smile-big:
 

Sasa wewe unaanzisha ugomvi hapa alafu una suggest muhamishe.
Kuwa na staha kidogo Mwana CCM unatakiwa kuwa kama JK usiwe mtu wa visasi.
 
Sasa wewe unaanzisha ugomvi hapa alafu una suggest muhamishe.
Kuwa na staha kidogo Mwana CCM unatakiwa kuwa kama JK usiwe mtu wa visasi.

kuna watu hata staha hawastihili huyu deodat ni mmoja wao, pole kwa kukukwaza mkuu.
 
Hajavunja Sheria wala hajashindwa kuifuata Katiba, Katiba inampa uhuru wa kutetea na kusimamia kile anchokiamini , Mradi asivunje sheria, Kwa kuwa yeye ni Mwanamapinduzi wa kweli, yuko huru kutoa mawazo yake, kama wewe.

mnataka akae sehemu moja kama amekamatwa akili? Au mnadhani IQ yake imestack kama yako? Yeye daily anafikiri ndo maana akili inapanuka ayo ndo maendeleo"Progressive thinking" nyie naswa tunduni,yeye mjanja amekimbia.
 
Kwa sasa amekaa na list ya ahadi za Kikwete anajiandaa kuanza kutick moja baada ya nyingine.

Kufikia mwisho wa miaka hii mitano atakuwa ameshatick zote, hopefully! Siamini kama ulikuwa ni usanii, he looked so serious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…