Baada ya kushuhudia show ya Saida Karoli

Baada ya kushuhudia show ya Saida Karoli

simba jike

Senior Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
182
Reaction score
537
Wasalaam JF!
Juzi tarehe 06/07/2017 nihudhuria show ya mwanamama saida karoli, napenda nikiri kwamba ilikuwa ni show ya kihistoria. Kwa kweli sio kitu cha kawaida kwa mwanamuziki aliyekaa benchi kwa miaka 15 kurudi kufanya Energetic Show kama ile, saida mwanzo mwa show aliingia akiwa amenyongea kidogo, tukafahamishwa kwamba alikuwa ametokea hosp na bado alitakiwa kuendelea na matibabu na show na alitakiwa kurudi hosp,lakini pamoja na kuumwa saida alijitahidi mnoo kuimba kwa hisia na kwa sauti iliyoridhisha na kusisimua,baadae alipata nguvu na akakiri kuwa sasa amejiskia nafuu zaidi na anaweza kuendelea vizuri na show, kilichofuata hapo ni BALAA, alifanya show iliyokonga mioyo ya watu na zaidi,kwa style ile nadhani atarudisha hela aliyoipoteza miaka mingi na ninadhani atapata mafanikio zaidi na zaidi, Good thing ni kwamba yuko chini ya usimamizi makini kabisa wa James Katagira ambaye ni Mkurugenzi wa shule za Tusiime. Wasanii wabongo wanatakiwa wajifunze kwa saida kuwa kujaza show sio kitu pekee wanachotakiwa kuwaza bali kukonga mioyo ya watu na wakatoka wakitamani show isiishe, saida alimaliza show saa kumi kasoro lakini watu bado walikuwa wakidai aendelee pasipo kujali muda wala uchovu. Binafsi namtakia kila kheri katika show zake nyingine atakazokuwa nazo.

Mdau JF
 
Huyu mama pasipo mtu fulani bado angekua benchi.
wazee wa kukamatia fursa washamkamatia.
akichuja tena anatupwa benchi.

Nakumbuka enzi zile mpaka khanga za mwenye wivu ajinyonge, zilikuaga za kijani kibichi walizivaa mpaka mmbwa[emoji23]

[emoji7]Ametoka mbaliii
 
Sawa aseeh akazane sana GAME la sasa hivi ni very challenging.
 
Tuondoeni ukabira. Eti wahaya wenzake! Simpleton mbona mm c mhaya lakini nilihudhuria. Idiotic and envious comment.
 
Show ilikuwa na mchanganyiko mf. Mimi ni Mchaga ila nilicheza na kuimba japo sijui maneno yote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bampa to Bampa


Hakuna bampa hapo, ni uelewa kichwa maji tu. Watanzania maana yake ni wananchi kwa ujumla
 
Back
Top Bottom