Miongoni mwa watanzania kuna MAKABILA na hilo linapelekea UKABILA na LIPO tu,lipo maofisini lipo mitaani lopo mashuleni,kuna makabila bado yanaamini katika UKABILA iwe kwa connections au jambo lolote hata kwa wenye elimu ya levo ya LipumberHakuna bampa hapo, ni uelewa kichwa maji tu. Watanzania maana yake ni wananchi kwa ujumla
Angalia kazi yake ya mziki achana na maisha yake binafsiWatoto wanne kila mtoto na baba yake? ? Nampa hongera ni mwanamke wa shoka.
Sijaongelea muziki wake hapoAngalia kazi yake ya mziki achana na maisha yake binafsi
Miongoni mwa watanzania kuna MAKABILA na hilo linapelekea UKABILA na LIPO tu,lipo maofisini lipo mitaani lopo mashuleni,kuna makabila bado yanaamini katika UKABILA iwe kwa connections au jambo lolote hata kwa wenye elimu ya levo ya Lipumber
Watanzania tunashindwa kutoboa kwa unafiki na woga wakusema kweli, mimi ni mtanzania na siyo mhaya na sikubali kulalamikiwa kwa kumdhulumu saida, tunajua wazi waliomzulumu ni wahaya wenzake waliojidai kumbela kumbe wanataka awabebe, huyu mama aliwahi kujaza Nakavubo stadium, wakina Fred Rwegasira wale wakihaya wakawa wao ndio kama baba na mama zake, na yeye kwa ushamba hakujua hili akawaegemea, sasa naamini ameshituka japo Ruge nae mhaya na huyo Tumsiime siji mhaya sijui mganda tumuombee mungu tu. Ila abaki kwenye category hiyo ya local/cultural mambo ya kulama uzungu aachane nayo kabisa, mambo ya mingao na viatu virefu no no noSijaongelea muziki wake hapo
Hakuwa na elimu wala uwezo wa kujua mambo, hata alipojaza uwanja wakimpa milioni 2 anaona sawa tu, anatakiwa kuwa na manager mwenye nia ya dhati kabisa kumsaidia huyu mamaWatanzania tunashindwa kutoboa kwa unafiki na woga wakusema kweli, mimi ni mtanzania na siyo mhaya na sikubali kulalamikiwa kwa kumdhulumu saida, tunajua wazi waliomzulumu ni wahaya wenzake waliojidai kumbela kumbe wanataka awabebe, huyu mama aliwahi kujaza Nakavubo stadium, wakina Fred Rwegasira wale wakihaya wakawa wao ndio kama baba na mama zake, na yeye kwa ushamba hakujua hili akawaegemea, sasa naamini ameshituka japo Ruge nae mhaya na huyo Tumsiime siji mhaya sijui mganda tumuombee mungu tu. Ila abaki kwenye category hiyo ya local/cultural mambo ya kulama uzungu aachane nayo kabisa, mambo ya mingao na viatu virefu no no no
Kwanza mnachotakiwa kujua ni kuwa Saida hakuwa Bench ila alikuwa hasikiki tu,kwa wale wa mikoa ya Mwanza na kanda ya ziwa kote watakuwa mashaidi wa hili kuwa alikuwa anafanya kazi yake ya muziki kama kawa na shoo alikuwa anafanya.Sasa kinachotokea leo hii ni kupewa tena airtime kama zamani.Wasalaam JF!
Juzi tarehe 06/07/2017 nihudhuria show ya mwanamama saida karoli, napenda nikiri kwamba ilikuwa ni show ya kihistoria. Kwa kweli sio kitu cha kawaida kwa mwanamuziki aliyekaa benchi kwa miaka 15 kurudi kufanya Energetic Show kama ile, saida mwanzo mwa show aliingia akiwa amenyongea kidogo, tukafahamishwa kwamba alikuwa ametokea hosp na bado alitakiwa kuendelea na matibabu na show na alitakiwa kurudi hosp,lakini pamoja na kuumwa saida alijitahidi mnoo kuimba kwa hisia na kwa sauti iliyoridhisha na kusisimua,baadae alipata nguvu na akakiri kuwa sasa amejiskia nafuu zaidi na anaweza kuendelea vizuri na show, kilichofuata hapo ni BALAA, alifanya show iliyokonga mioyo ya watu na zaidi,kwa style ile nadhani atarudisha hela aliyoipoteza miaka mingi na ninadhani atapata mafanikio zaidi na zaidi, Good thing ni kwamba yuko chini ya usimamizi makini kabisa wa James Katagira ambaye ni Mkurugenzi wa shule za Tusiime. Wasanii wabongo wanatakiwa wajifunze kwa saida kuwa kujaza show sio kitu pekee wanachotakiwa kuwaza bali kukonga mioyo ya watu na wakatoka wakitamani show isiishe, saida alimaliza show saa kumi kasoro lakini watu bado walikuwa wakidai aendelee pasipo kujali muda wala uchovu. Binafsi namtakia kila kheri katika show zake nyingine atakazokuwa nazo.
Mdau JF
Uko sahihi. Pia kuna mtu anaitwa Felicien Muta (FM). Huyu ndo alimuibua na kumzamisha Saida. Taifa alikua kila akipafomu inatapika. Hakuna show ya Saida iliyododa. Chezea Halidi na Philimoni [emoji38]Watanzania tunashindwa kutoboa kwa unafiki na woga wakusema kweli, mimi ni mtanzania na siyo mhaya na sikubali kulalamikiwa kwa kumdhulumu saida, tunajua wazi waliomzulumu ni wahaya wenzake waliojidai kumbela kumbe wanataka awabebe, huyu mama aliwahi kujaza Nakavubo stadium, wakina Fred Rwegasira wale wakihaya wakawa wao ndio kama baba na mama zake, na yeye kwa ushamba hakujua hili akawaegemea, sasa naamini ameshituka japo Ruge nae mhaya na huyo Tumsiime siji mhaya sijui mganda tumuombee mungu tu. Ila abaki kwenye category hiyo ya local/cultural mambo ya kulama uzungu aachane nayo kabisa, mambo ya mingao na viatu virefu no no no
Kiki!? Ulimuona au unasema tu!? Toa taka taka hapaMwambie nae apunguze kiki za hospitali...