GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
vibertz, Tate Mkuu, Isanga family na OKW BOBAN SUNZU nasikia mna Suti Kali sana naomba Mmoja wenu aniazime ili nivae Siku ya Kupokea Tuzo yangu ya Ushindi Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums.
Tafadhali nawaombeni mnisaidie kwani Nitaumbuka kwa kutokuvalia Suti Kali mbele ya Rais wa Dunia na Marekani Joe Biden na Kuvalia tu hii Minyalonyalo yangu ya Kutukuka.
Atakayenipa ( Atakayeniazima ) Suti yake Kali kwa hawa niliowataja hapa nitampa USD 300 kati ya USD 5000 ambazo Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi kutoa kwa Washindi wa Majukwaa ya JamiiForums kwa mwaka huu wa 2022.
Sijui itakuwaje Siku hiyo GENTAMYCINE nikiwa napiga Picha na Rais wa Marekani Joe Biden huku Walinzi wake wakiwa Wametuzunguka.
Kushinda ni Raha sana na hasa Ukishinda katika Mtandao mkubwa na wenye Great Thinkers wote wa JamiiForums.
Mwaka ujao 2023 nawaombeni pia na nyie akina vibertz, Tate Mkuu, Isanga family na OKW BOBAN SUNZU nanyi Mgombee au Mjumuishwe katika Shindano kwani nawaona kabisa kuwa mtaenda Kushinda na hata nami pia nikiwepo bado nawaona mtashinda na Kunishinda GENTAMYCINE.
Kazi ipo......!!!!!!