Baada ya kusikiliza mameneja habari wa Aazam na Simba nimeamini kesho ni mechi kati ya fatu na fetty

Baada ya kusikiliza mameneja habari wa Aazam na Simba nimeamini kesho ni mechi kati ya fatu na fetty

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Mnaotegemea maajabu kesho mnajisumbua tu.Azam ni tawi la 5imba.Kama umemsikiliza vizuri Ahmed Ally leo utanielewa vizuri.

Mnaobeti kazi kwenu.

Hamtafundishwa kila kitu.
 
Kesho Simba 14 - Azam 0. Tunafuta GD yote mnayojidai nayo mliyoiokota kwa matawi yenu, tunaanza upyaa.

Ubaya Ubwela.
 
Mnaotegemea maajabu kesho mnajisumbua tu.Azam ni tawi la 5imba.Kama umemsikiliza vizuri Ahmed Ally leo utanielewa vizuri.

Mnaobeti kazi kwenu.

Hamtafundishwa kila kitu.
Ilivyocheza UTO na AZAM kwani ilikuwaje?
 
Mbna una wasi wasi sana? Uko kileleni na bado hujiamini. Lol
 
Back
Top Bottom