Nimesikiliza clip ya Lissu akijibu maswali ya wanahabari kwenye mkutano wao jana jijini Mwanza. Kwa jinsi alivyoweza kujibu kwa hoja nzito maswali yote aliyoulizwa na waandishi, nimemuona Lissu kama Nerere mwingine katika uwezo wa kujenga, kujibu na kutetea hoja. Sidhani kama katika miaka ya karibuni tumewahi kuwa na mwanasiasa genius kama huyu. Ndio maana hakuna mgombea yeyote anayeweza kuthubutu kukubali mdahalo na Lissu kwani anajua kitakachompata mbele ya camera