Walilete like limsukule lenye PhD isiyo na thesis uone watakavyokimbizana njano na kijaniNimesikiliza clip ya Lissu akijibu maswali ya wanahabari kwenye mkutano wao jana jijini Mwanza. Kwa jinsi alivyoweza kujibu kwa hoja nzito maswali yote aliyoulizwa na waandishi, nimemuona Lissu kama Nerere mwingine katika uwezo wa kujenga, kujibu na kutetea hoja. Sidhani kama katika miaka ya karibuni tumewahi kuwa na mwanasiasa genius kama huyu. Ndio maana hakuna mgombea yeyote anayeweza kuthubutu kukubali mdahalo na Lissu kwani anajua kitakachompata mbele ya camera
Wewe hapo upo kazini? Au kwakuwa unalipwa kwa kupost ujingaacheni kuota ndoto za mchana!!
fanyeni kazi..kwa ajili ya familia yako
Saa hizi magu amewaita wasimamizi wote wa uchaguzi waje Dodoma anawatisha kuwa lazima ccm ishinde la sivyo...Nimesikiliza clip ya Lissu akijibu maswali ya wanahabari kwenye mkutano wao jana jijini Mwanza. Kwa jinsi alivyoweza kujibu kwa hoja nzito maswali yote aliyoulizwa na waandishi, nimemuona Lissu kama Nerere mwingine katika uwezo wa kujenga, kujibu na kutetea hoja. Sidhani kama katika miaka ya karibuni tumewahi kuwa na mwanasiasa genius kama huyu. Ndio maana hakuna mgombea yeyote anayeweza kuthubutu kukubali mdahalo na Lissu kwani anajua kitakachompata mbele ya camera