matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mathayo 24 inatoa dalili za kubomolewa Yerusalem na Kuja kwa Yesu mara ya pili.
Walengwa wa Dalili hizo kwa ukubwa ni waovu, na wacha Mungu kwao ni kama tahadhari wasijisahau.
Dalili hizo zinatoa fursa nyingi za kibiashara. Kwa sababu Yesu alitoa agizo la kufanya biashara hadi atakapokuja, ni ujinga kujifungia ndani au kanisani kwa kuogopa dalili hizo.
1: Kutakua na njaa
Biashara: Anza kilimo, uza vyakula maana siku za mwisho watu wengi hawatakuwa na vyakula.
2: Kutakuwa na Magonjwa
Fungua Hospitali, duka la madawa au sanitalium. Anzisha huduma ya maombezi ya kiroho kwa wagonjwa.
3: Manabii wa uongo na wadanganyaji
Andika vitabu, semina au kama vipi kuwa nabii wa ukweli maana ukweli unanguvu kuliko uongo. Hii utakuwa unafanya biashara yenye faida kiroho.
4: Vita na tetesi za vita
Vita, matishio ya vita, ugaidi na mauaji ya kimbari. Anzisha huduma ya faraja kwa wahanga wa kivita, Tumia tetesi za kivita kufanya maamuzi ya kifedha na kiuwekezaji. Itakusaidia kujua tetesi hizo, na vita hivyo vinaathari kani katika kuoanda na kushuka kwa soko. Kuwa muwekejazi
5: Ongezeko la uhalifu (Mathayo 24:12
Fungua kampuni ya Ulinzi, Duka la vifaa vya kielekroniki vya kujilinda na uharifu. Buni mifumo ya kisasa ya ulinzi majumbani (home security services).
Ni hayo tu wakuu.
Mtumishi Matunduizi
Sabato njema.