Baada ya kusoma dalili za siku za mwisho Mathayo 24, nimegundua kuna fursa za kibiashara ndani yake

Huu ni Ukweli mtupu
 
Umewahi kujiuliza umetoka wapi hadi ukaja hapa duniani na bada ya kuishi vimiaka 80, ukifa unakwenda wapi?
Na kama hapangekuwa na siku za mwisho, kwa nini ufe, usiishi milele?
Nyoo,mwanadamu angeishi milele angejishebedua sana,Mungu aliliona hili mapema akarefusha umri wa kobe.
 
Nyakati hizi ukilinganisha na nyakati/karne nyingine zilizopita binadamu wengi wako katika hali nzuri zaidi ndio maana hata wastani wao wa maisha umeongezeka sana kutoka miaka 40 mpaka 80. Watu wengi hawafi katika vita kama zamani, watu wengi hawafi katika umri mdogo kwa sababu ya magonjwa na kukosa utabibu kama zamani, binadamu anaweza kuzalisha chakula na kuweka akiba(tatizo kubwa liliobaki ni ugavi wa hiko chakula na ulaji mbovu) pia watu wengi zaidi duniani wanaisha katika tawala za kidemokrasia kuliko nyakati nyingine zote.
 
Hizo ni bla bla tu za kiimani , hakuna siku ya mwisho zaidi ya ile siku unakufa wewe kama wewe
Hapo ndipo akili yako ilipofikia! Kama wewe una mwanzo na una mwisho wako wa kufa! Unashindwa kuelewa kuwa dunia na yenyewe ina mwanzo na kwa hesabu hiyo hiyo pia ina mwisho!
 
Mkuu,inabidi hizo fursa nizichangamkie sasahivi au nisubiri subiri mpaka siku hiyo ya mwisho?
 
Kila nilichokiandika kimo kwenye biblia.
Njaa itakuwa kubwa sana. Ndio maana matajiri wakubwa africa wamehamia kwenye bidhaa za vyakula, maana forecast ya njaa kuongezeka iko wazi.
Njaa sio mambo ya mwili. Uwe unasoma maandishi kwa usahihi. Njaa inayozungumzwa hapo ni kukosa neno la Mungu lillilo kweli. Mungu ni roho, chakula au maji katika ulimwengu wa kiroho ambapo Mungu yupo maana yake ni "neno la Mungu la kweli ambalo halijachakachuliwa". Hii ndio maana halisi ya chakula au maji katika Biblia.

Karibu.
 
Kuhusu maqndiko hiyo ni dqlili nyingine.
Moja ya dalili ni injili ya ufalme kuhubiriwa ulimwenguni kote kqbla ua mwisho kuja. Njaa ya neno aliyosema Hosea ni matokeo ya kupuuza neno sio kutokuwepo kwa neno mkuu.
Hicho unqchokisema tunakijua usispiritualize vitu ambavyo tayari ni spiritual, njaa ya chakula

Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja
Mqthaoyo 24:14
 
Wewe Khenge kumbe una akili timamu hivi,
Sasa mbona hua unajifanya akili nyanyachungu mazee?
Sema nini nakubali sana blood!
😁😁😁
 
Muda huo we utakuwa kwenye kundi gani? We huo mwisho utakuwa haukuhusu au?
 
Muda huo we utakuwa kwenye kundi gani? We huo mwisho utakuwa haukuhusu au?
Nitakuwa natekeleza wajibu alionipa Mungu. Wanaomuamini Mungu wanapaswa kuwa bize na vipaji walivyopewa. Anatakiwa atukute tuko katika kutekeleza wajibu. Maana yeye amesema atakuwa nasi hadi mwisho wa Yote.
 
Yote yamekwishatokea na yanaendelea kutokea. Muhimu ni wewe tu kujichanganya kwenye mnyororo wa thamani.
 
Aisee! Umewaza nje ya box!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…