Baada ya kusuka rasta ama vinginevyo ni kwa muda gani inafaa kuziosha au kusuka tena kuepusha usumbufu na kero kwa wengine?

Baada ya kusuka rasta ama vinginevyo ni kwa muda gani inafaa kuziosha au kusuka tena kuepusha usumbufu na kero kwa wengine?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Changamoto ya harufu nzito ya uvundo wa jasho kwenye nywele huwa kero na usumbufu kwa wasio husika.

Kwa wazoefu, ni katika muda gani yafaa nywele kuoshwa, kusukwa tena bila kufumua na kuficha kwa wigi ambalo huzidisha harufu nzito zaidi?šŸ’
 
Back
Top Bottom