Baada ya kutafakari kwa kina

Baada ya kutafakari kwa kina

mwarya hamadous

Senior Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
196
Reaction score
136
Nimegundua wanaosomeshwa number bila huruma sio watumishi wa umma,watumishi tunasomeshwa number lkn afadhar ukifika mwisho wa mwez kama jana wameweka kamshahara kao kasikokuwa na ongezeko pamoja na kuwa maisha yamepanda angalau unapunguza maden gengen kwa mpemba,balaa lipo kwa wasiokuwa na ajir jana kwa nyakati tofaut nimefatwa na watu wawili wenye familia zao wakitaka mkopo hata elf 15 imagine...jaman har ngum mtaani mpka watu waanze kuuana...
 
Back
Top Bottom