Baada ya kutajwa na Jopo la UN; Mndolwa aondolewa Burundi!

AmaniKatoshi

Senior Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
158
Reaction score
14
Salome Sijaona Balozi mpya Japani



Kikwete picks envoys to Japan, Saudi Arabia and Burundi
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed new ambassadors to Japan, Saudi Arabia and Burundi to fill vacant posts. The appointments take immediate effect.

A statement issued today by the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation said that Ms Salome Sijaona (pictured above) has been appointed Ambassador to Japan to replace Ambassador Elly Mtango who has retired.

Ms Sijaona formerly served as the Permanent Secretary in the Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development.

The statement said that the president has appointed Prof Abdillah Omari as Tanzania ambassador to Saudi Arabia, to replace retired Judge Khamis Msumi who has retired. Before the appointment, Prof Omari served as the Director of Centre of International Relations in Dar es Salaam.

President Kikwete has also appointed Dr James Nzagi to be Tanzanias Ambassador to Burundi, replacing retired Brigadier General Francis Mndolwa who has retired. Before his appointment, Dr Nzagi served as a director in the Presidents Office.

Source: DAILY NEWS
 
Aitwe aeleze hayo maongezi yalikuwa ya nini............yanahusu nini atuelezeee...hawezikutuygombanisha na kabila dogo wetu then mtamtoa kirahisi rahisi hivyo.....
 
Kunani kwani jamani sijaelewa nani aitwe na aeleze nini.

...President Kikwete has also appointed Dr James Nzagi to be Tanzania’s Ambassador to Burundi, replacing retired Brigadier General Francis Mndolwa who has retired. Before his appointment, Dr Nzagi served as a director in the President’s Office....
 
Hivi Mama Sijaona hajafikisha Retirement Age?
Na alikuwa anataka kugombea Jimbo Gani? na ni nani Mbunge wa Sehemu hiyo kwa Sasa.?
 
mnhhh....haya bwana...hata report ya UN haijatoka officially...naona timu pinzani inaogopa na kufyata mkia....hoja ijibiwe kwanza sio kuondoa ushahidi....then atapewa post ipi mkuuu...
 
Hivi Mama Sijaona hajafikisha Retirement Age?
Na alikuwa anataka kugombea Jimbo Gani? na ni nani Mbunge wa Sehemu hiyo kwa Sasa.?
mama sijaona ana miaka 60 na miezi minne hivi
 
Tanzania Itajengwa na wenye MOYO na kuliwa na wenye MENO, na bado.
 
Hivi Mama Sijaona hajafikisha Retirement Age?
Na alikuwa anataka kugombea Jimbo Gani? na ni nani Mbunge wa Sehemu hiyo kwa Sasa.?

Zawadi ya Kisiasa kwa Mama Sijaona.......uteuzi huo bado haumzuii kugombea ubunge..........na nia yake bado ipo.....

Hongera sana Mama Sijaona.......umefanya kazi kwenye mazingira magumu sana na kwa uadilifu.........huyu mama ni mmoja wa mifano ya kuigwa kiutendaji

Mama Sijaona nenda katumie uzoefu wako kuimarisha chachu ya mahusiano na nchi ya Japan na hasa kwenye miradi ya maendeleo (elimu, Kilimo), uwekezaji na utalii..............
 
Sasa hao mabarozi wanaorudishwa/Retirement wana miaka mingapi?? Au kwa mabarozi nizaidi ya 60 yrs!

Hili ni 1 million dollar question!! Mama sijaona amestaafu na kuagwa kama mtumishi wa serikali, lakini amepata ajira nyingine!!!

Kweli aliye nacho ataongezewa, sasa sijui huyo anayerithiwa Japan ana miaka 80 au 90?
 
kwa hiyo mama sijaona akiondoka na utii na uaminifu wake at 60 yrs haitoshi? haya JK amewaahidi wa TZ serikali ya vijana akipewa kura mwakani.
 
Hivi Mama Sijaona hajafikisha Retirement Age?
Na alikuwa anataka kugombea Jimbo Gani? na ni nani Mbunge wa Sehemu hiyo kwa Sasa.?

Kaondolewa uwanjani asimharibie mshkaji wa JK
 
Mwanakijiji,

..Dr.James Nzagi ndiye Nzagi anayetajwa hapo chini na Yoweri Museveni?

 
Du kazi kweli kweli. Hivi alikuwa anataka kugombea ubunge jimbo gani vile?? Siasa ni mchezo mchafu?

Kwa ufupi huyu mama ni strong na aliweza sana kupambana kwa kiasi kikubwa na ufisadi wa pale ardhi. Ardhi palikuwa pabovu sana kule mwanzoni. Sijui katibu mkuu mpya pale ataweza kuwa smart kama mama Sijaona??!!!

Acha apate upepo wa Japan na apoumzike kidogo ajikusanyie JPY ya kutosha na kusazia vitukuu.
 

Utumishi uliotukuka sawa, ila amestaafu huku anaenda kumpokea mwingine aliyestaafu kule...uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!

Sasaivi utasikia Mwanyika anakuwa katibu mkuu kumpokea anayestaafu, na Arthur Mwakapugi anaenda kumpokea balozi Adadi baada ya kustaafu
 
Sasa hao mabarozi wanaorudishwa/Retirement wana miaka mingapi?? Au kwa mabarozi nizaidi ya 60 yrs!

Mabalozi umri wa kustaafu ni miaka 60 kama mfanyakazi yoyote serikalini lakini pia kama mfanyakazi yoyote mwingine anaweza kufanya kazi kwa mkataba baada ya hapo. Tatizo kwenye hizi presidential appointments kuna motives nyingi ila mimi nadhani kama kweli mtu alikua mchapakazi na anaonekana ni yeye ndiyo anafaa katika nafasi fulani basi siyo vibaya kumuongezea muda kidogo baada ya umri wa kustaafu. Sijui if that's the case na huyu mama.
 
jokaKuu,
Yule Nzagi wa intelligence sikujua kama ni Dr. Ngoja nitaulizia kwa maana tulienda shule moja ila alikuwa miaka michache nyuma yangu.
 
Acheni longolongo huyu mama hawezi kufikiwa na waziri yeyote mwanamke aliyeko kwenye serikali ya sasa! Ni kichwa hasa! Nina wasiwasi na hii serikali ya kifisadi! Hizi ni mbinu za kumuondoa na kushiriki katika uchaguzi mwaka kesho! kama sikosei anatoka jimbo la Membe na ameshashtukia nguvu za huyu mama! Bumburuka mama baki hapa unapaswa kuwa waziri wewe ni kama Mh Magufuri! Tunakuhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…