Acheni longolongo huyu mama hawezi kufikiwa na waziri yeyote mwanamke aliyeko kwenye serikali ya sasa! Ni kichwa hasa! Nina wasiwasi na hii serikali ya kifisadi! Hizi ni mbinu za kumuondoa na kushiriki katika uchaguzi mwaka kesho! kama sikosei anatoka jimbo la Membe na ameshashtukia nguvu za huyu mama! Bumburuka mama baki hapa unapaswa kuwa waziri wewe ni kama Mh Magufuri! Tunakuhitaji
mnhhh....haya bwana...hata report ya UN haijatoka officially...naona timu pinzani inaogopa na kufyata mkia....hoja ijibiwe kwanza sio kuondoa ushahidi....then atapewa post ipi mkuuu...
Acheni longolongo huyu mama hawezi kufikiwa na waziri yeyote mwanamke aliyeko kwenye serikali ya sasa! Ni kichwa hasa! Nina wasiwasi na hii serikali ya kifisadi! Hizi ni mbinu za kumuondoa na kushiriki katika uchaguzi mwaka kesho! kama sikosei anatoka jimbo la Membe na ameshashtukia nguvu za huyu mama! Bumburuka mama baki hapa unapaswa kuwa waziri wewe ni kama Mh Magufuri! Tunakuhitaji
Utumishi uliotukuka sawa, ila amestaafu huku anaenda kumpokea mwingine aliyestaafu kule...uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!
Sasaivi utasikia Mwanyika anakuwa katibu mkuu kumpokea anayestaafu, na Arthur Mwakapugi anaenda kumpokea balozi Adadi baada ya kustaafu
Mkuu Geza Ulole
....ni kweli kabisa huyu Mama ni kati ya watu wachache sana serikalini walio waadilifu............Mrema (TANROADS) akimuona huyu Mama......anweza hata kujikolea............Mrema asingeweza kupata nafasi aliyonayo under Mama Sijaona watch............
.......huyu Mama ni wa "Kunyumba"...i.e. kutoka mkoa wa Ruvuma........
Ni kweli kabisa ilipaswa abakie hapa hapa.....lakini ndio siasa hizo ndugu yangu.........
JK akikagua masjala hati za kumiliki ya ardhi kimila katika kijiji cha Msindo, wilayani Namtumbo jana muda mfupi kabla ya Rais kugawa hati miliki za kimila kwa wanakijiji wa Msindo.Kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi John Chiligati,Katibu Mkuu wa wizara hiyo Bi.Salome Sijaona na Mbunge wa jimbo la Namtumbo Mhe.Vita Kawawa.