Baada ya kutamba sana Clouds Tv "dead and Gone"

Baada ya kutamba sana Clouds Tv "dead and Gone"

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Clouds kua na kimya cha namna hii.

Ilitegemewa baada ya Wasafi Tv kufungiwa wao wangejitahidi kuteka soko ila inaokenana ndo wanazidi kutumbukia shimoni.
Kunani kule Clouds?
 
Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Coluds kua na kimya cha namna hii.

Ilitegemewa baada ya Wasafi Tv kufungiwa wao wangejitahidi kuteka soko ila inaokenana ndo wanazidi kutumbia shimoni.
Kunani kule Clouds?
Kwani Wasafi tv na Clouds tv ni tofauti?
 
Mkuu isiwe ukawa ujalipia King'amuzi ,je kwenye Ving'amuzi vingine inaonekana?
 
Mkuu acha mbio, Uwe unasoma kabla ya kupost maana siku nyingine utapost matusi.
Coluds, kutumbia, kua... ni mifano tu.
Ila kuhusu kuyumba kwa mambo awamu hii ya 5 ni kawaida tu, kwani huko uliko mafuta ya kupikia bei gani? Sukari, Cement je? Bati n.k.
Nafikiri mimi na wewe tuko shimoni tayari tunamsubiri tu Clouds aungane nasi na sidhani kama atakuja.
 
Mkuu isiwe ukawa ujalipia King'amuzi ,je kwenye Ving'amuzi vingine inaonekana?
Mimi huangalia taarifa ya habari saa moja na nusu usiku lakini ni siku ya pili siipati.
Hata hivyo nilichukulia kuwa ni pumzi tu imekata na ikiwekewa oksijeni itazinduka.
 
Mimi huangalia taarifa ya habari saa moja na nusu usiku lakini ni siku ya pili siipati.
Hata hivyo nilichukulia kuwa ni pumzi tu imekata na ikiwekewa oksijeni itazinduka.

Fuatilia kama na Startimes au Dstv kama haionekani.
 
kwa wanaotumia king'amuzi tofauti na azam watuambie kama cloudstv inaonekana huko. DSTV , startimes, zuku nk...
 
Kwenye Startimes wapo.
Nilikua naangalia chomoza asubuhi hii
 
Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Clouds kua na kimya cha namna hii.

Ilitegemewa baada ya Wasafi Tv kufungiwa wao wangejitahidi kuteka soko ila inaokenana ndo wanazidi kutumbukia shimoni.
Kunani kule Clouds?
WASAFI TV hawawezi kuwa washindani wa Clouds, kwa sababu Wasafi ni ya Burudani na Clouds ni kutoa habari.

Hata huko kwenye Azam, hiyo WASAFI ipo kwenye Category ya Burudani.
 
Back
Top Bottom