Kwani Wasafi tv na Clouds tv ni tofauti?Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Coluds kua na kimya cha namna hii.
Ilitegemewa baada ya Wasafi Tv kufungiwa wao wangejitahidi kuteka soko ila inaokenana ndo wanazidi kutumbia shimoni.
Kunani kule Clouds?
Mimi huangalia taarifa ya habari saa moja na nusu usiku lakini ni siku ya pili siipati.Mkuu isiwe ukawa ujalipia King'amuzi ,je kwenye Ving'amuzi vingine inaonekana?
Mimi huangalia taarifa ya habari saa moja na nusu usiku lakini ni siku ya pili siipati.
Hata hivyo nilichukulia kuwa ni pumzi tu imekata na ikiwekewa oksijeni itazinduka.
Clouds TV,ni free station hata usipolipia unaipata ila ni kweli kwa sasa Azam Decoder haionyeshi....ila labda ni Technical problem.Fuatilia kama na Startimes au Dstv kama haionekani.
KiberitiClouds ndiyo ki2 gani
Dstv hakuna clouds tv kuna clouds plus.kwa wanaotumia king'amuzi tofauti na azam watuambie kama cloudstv inaonekana huko. DSTV , startimes, zuku nk...
Kwenye azam tangu majuzi sijawaonaMkuu isiwe ukawa ujalipia King'amuzi ,je kwenye Ving'amuzi vingine inaonekana?
WASAFI TV hawawezi kuwa washindani wa Clouds, kwa sababu Wasafi ni ya Burudani na Clouds ni kutoa habari.Ni siku kadhaa sasa clouds Tv haionekani kwenye kingamuzi za Azam. Wenyewe wapo kimya hakuna updates wala taarifa yoyote kama kuna tatizo ama lah. Sio kawaida kwa Tv station kama Clouds kua na kimya cha namna hii.
Ilitegemewa baada ya Wasafi Tv kufungiwa wao wangejitahidi kuteka soko ila inaokenana ndo wanazidi kutumbukia shimoni.
Kunani kule Clouds?
Ndio ni tofauti. Hata tu wewe mwenyewe hapo umetofautisha tayariKwani Wasafi tv na Clouds tv ni tofauti?