Baada ya kutimua vumbi jana, leo 'swit fm' wamejikaushaa, kama vile hawapo Duniani!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,795
Dah, leo wakina 'swit fm' wameuchunaa na kutulia kama maji ya mtungi kama vile hawako Duniani.
Au pengine huko hapajakucha bado niendelee kuvuta subra!
Nimepita kwenye mitandao mbali mbali ila sijaona pilika pilika za mwana swit fm hata mmoja kama ambavyo tumezoea.
Sio Jelly, wala Slow slow. Wote wamekwenda mapumziko.
Inaonekana leo wana swit fm mioyo yao kwatuu! Imetakata kabisa.
Wana swit fm bhana...
Ila think tank ya swit fm nimeinyooshea mikono... Sio ya kispot spot.

By the way, hata kule upande wa Chai dema, naona kafuraha ka chini chini kametawala. Watu wako wanajipanga kugawana mikoba.
Yani siku ya leo nchi imepoaa utadhani imepigwa na baridi la Antraktica... Soo cool yani today.
 
Naomba wale watakaokuelewa kwa ulichokiandika hapa watanisaidia Kunielewesha na Mimi tafadhali kwani naona ' maluweluwe ' tupu tu!
 
Naona anamaanisha matamasha haya yakipumbavu japokuwa hueleweki unachokitaka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutakurudisha Rwanda mkaendelee kufunga wanawake kama ndugu yako kagame! Pusi wee!

Tena na hivi sina Nauli nitashukuru sana Mkuu. Nikukute wapi nije? Mimi sasa nipo hapa Kisiwani Puerto Rico je na Wewe uko hapa hapa au?
 
' Popoma ' Shangazi yako na Mjomba wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutakurudisha Rwanda mkaendelee kufunga wanawake kama ndugu yako kagame! Pusi wee!
Tena na hivi sina Nauli nitashukuru sana Mkuu. Nikukute wapi nije? Mimi sasa nipo hapa Kisiwani Puerto Rico je na Wewe uko hapa hapa au?
Hapana Mkuu huyo ' nataniana ' nae. Hakuna Kitu ninachokipenda duniani kama Utani, Kutaniwa au Kutaniana na Mtu.
Usijali Mkuu ila usisahau kilainishi
Mkuu yamekuwa hayo tena? Ina maanisha unataka kuni KONKI KONKI au?
Nauli ya bure labda ujisogeze magogoni huenda nawewe utapewa 50million
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamani khaa!!
 
Back
Top Bottom