Mtoa mada hamna kitu , kaishia English courseMkuu usichukue uzi wa tweet na kujenga hoja kwamba "wamarekani" wanamchamba. Inawezekana vile vile kuna uzi wa tweet wa "wamarekani" wakimsifia!!!
We ungetueleza kwanza ligi ya chini anayocheza sasa ni ipi? kaingia lini? katimuliwa lini? na sababu zilizotolewa kumtimua ni zipi?
Hapa utakuwa umetuelimisha vizuri tujue kinachoendelea!!! We labda mjuzi wa haya mambo tuelimishe na sie basi!!!
Eeh! Arudi nyumbani kulima matikiti...
Na ww punguza unafik wa mitandaoni, utafikir huyo hashim alishawah kukupa bukuTunafurahia sana wenzetu wasipofanikiwa, wakitukanwa kwenye mitandao, wakiandikwa kwa mabaya hata tusiyoyafahamu, wakioneshwa hawawezi, wakitumbuliwa na hayo yote mabaya. Binadamu tuna chuki kubwa dhidi ya wenzetu. Hebu jifikirie, ungekuwa wewe ungejisikiaje? Halafu hebu fikiri zaidi, je, itakusaidia nini ukifurahia mabaya yakimtokea mtu mwingine? Do you gain anything? Itakupa mkate wa siku? Tusiwe sadists. Leo kwake, kesho kwako,
Hapana mkuu hali ni tata..nimeona mwenyewe kwenye @BleacherReport.Mtoa mada hamna kitu , kaishia English course
Wanafurahi kinoma yani unakuta mtu hajala siku nne , anadaiwa kodi , anamkwepa mwenye nyumba wake, ada ya shule ya wanawe.hajamaliza kulipa, ila akisikia mtanzania mwenzie amefeli maisha anafurahi kinyamaBasi nyuzi kama hizi wabongo wanachangia meno yote nje
Mkuu hali tata...!!!!Tunafurahia sana wenzetu wasipofanikiwa, wakitukanwa kwenye mitandao, wakiandikwa kwa mabaya hata tusiyoyafahamu, wakioneshwa hawawezi, wakitumbuliwa na hayo yote mabaya. Binadamu tuna chuki kubwa dhidi ya wenzetu. Hebu jifikirie, ungekuwa wewe ungejisikiaje? Halafu hebu fikiri zaidi, je, itakusaidia nini ukifurahia mabaya yakimtokea mtu mwingine? Do you gain anything? Itakupa mkate wa siku? Tusiwe sadists. Leo kwake, kesho kwako,
Link iyo apo usinichoshe yaani nipoteze mda kukutafsiria?Mtoa mada hamna kitu , kaishia English course
Kwa iyo mambo mabaya hatutakiwi kuongelea? Nyie ndo mtu akipost picha wanafunzi wapo foleni ya maji mnawateka yaani mnapenda kupongezwa tuu. Mbona alipoingia NBA pia tulimpongeza? Kwaiyo wewe ukinya njiani unataka sisi tupige kimya tu ufanye yako, jifunzeni kubalance maisha kuna mazuri na mabaya yote tutayaongelea ndo tulivyoumbwa.Wanafurahi kinoma yani unakuta mtu hajala siku nne , anadaiwa kodi , anamkwepa mwenye nyumba wake, ada ya shule ya wanawe.hajamaliza kulipa, ila akisikia mtanzania mwenzie amefeli maisha anafurahi kinyama
Sent using Jamii Forums mobile app