Tetesi: Baada ya kutishwa, Ruge Mutahaba muda mfupi ujao anaenda kupingana na ushahidi uliokuwepo

Status
Not open for further replies.
kwa hili sinzani mnachofikiriwa kusema kitatokea coz even my self ningelinda ugali wangu
 
Bora ...afanye hivyo aendelee kupata ....income ya kutosha ...kuliko kuweka beef akafa njaa....maana mnaotaka afanye mnachokitaka ...hamtachangia hata shilingi pindi clouds ikianguka.....infact wengi wenu mnapenda kituo kife....ili muwacheke.
 
Hii ndyo sababu tanzania ni maskini na itaendelea kuwa hivi hivi sababu watu mnatetea matumbo yenu huku hamna huruma ya kizazi kijacho. Huwezi leta maendelea kwenye nchi yenye watu waoga kama nyinyi.
mkuu wewe ni yahaya au maana unatabiri vitu vya uongo kabisa ,mkuu
 
kusikilza clouds bora kusikiliza kelele za chura
 
Yupo live anaongea vizuri tu hana dalili ya kumtetea mtu au kupindisha ukweli ndugu Gentamycine...
 
Ruge anaongea poa tu mkuu yuko free hamtetei mtu, Mods ondoa uzi huu
 
Haya. Tz bhana! Ok... ngoja nijipendee kwa wazungu huko
 
Yupo live anaongea vizuri tu hana dalili ya kumtetea mtu au kupindisha ukweli ndugu Gentamycine...

Na nia yangu nataka aseme ukweli na asilete unafiki. Hata Mimi namtizama pia. Na kama Ruge anasema ukweli sasa imekuwaje Watangazaji Sam Sasali, Hassan Ngoma na Babie Kabae wanamtetea wazi wazi Makonda tena bila aibu?
 
Ruge ataanzia wapi kumgeuka bashite/ngosha
 
Gentamycine uyasemayo yanawezekana kabisa lkn hakuna wakati wowote ambapo giza lilishindana na nuru, au uongo ulishindana na ukweli.

Yote yanayomtokea dogo leo ni matokeo ya giza kujaribu kumshinda na na nuru, nikuhakikishie haitawezekana, ndivyo makubwa yatakavyozidi kutokea.

Kubwa tunalozidi kujifunza ni hili, ni Mungu pekeee tu ambaye hajaribiwi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…