Baada ya kutochakachua kwa Zaidi ya mwaka sasa sijui nianzie wapi?

nackia m2 akikaa mda mrefu bila ku do anakua bikra.kwa hiyo we bikra?! ....ukishuka airport pitia buguruni baa moja inaitwa kimboka utapata ful maujuz
 
nackia m2 akikaa mda mrefu bila ku do anakua bikra.kwa hiyo we bikra?! ....ukishuka airport pitia buguruni baa moja inaitwa kimboka utapata ful maujuz

ni pale kimboka bynight? Dah! We humtakii mema huyu ndugu. Zipu ujio wako umekaa kingono ngono kwani hakuna mengine ya maana unayoweza kufanya Tz uliyojifunza huko?
 

Post yako imejaa ulimbukeni na ushamba.Hata kwenye jukwaa la mapenzi kuna maana ya kuongea siyo hili. Unatuuliza utaanzaje kuchakachua hivi wewe na ukubwa wote huo unaweza kutuambia hujui? au ndiyo nyie mnaojifanya mmesahau hata lugha yenu. Mimi nilichoona kwenye post yako ni mashauzi tu ya kuwa ulikaa somewhere nje ya TZ for just a year, sijui unatutangazia au tujue. Miafrika ndivyo tulivyo' hata ukikutana nayo kwenye nchi za wenzetu tutatambuana kwa ushamba. inaboa
 
Kanyaga taratibu dunia ya Mungu hii......

Kuwa makini sana na kuchakachua hovyo hovyo.....

kama umeweza vumilia mwaka then tulia tafuta msichana akufaaye,aliyetulia na unayempenda inakuhakikishia hata usalama wako.:coffee:
 

chonde chonde usijeua utakaekutana nae
 
Karibu Tanzania yetu baba. Karibu nitakupokea vizuri tu. Ulete mazawadi kibao, halafu kuna kiwanja kinauzwa pale Goba nitakupeleka ukakione.

Nilikuwa na mpango wa kufungua duka, nashukuru kwa sababu utanisaidia.

Mengine tutaongea zaidi, hebu soma hio PM iliokutumia.
 

Inaboa sana. Ushamba umetapakaa mwili mzima. Halioni aibu hata kupost thread ya ulimbukeni kama hiyo!
 

"Miafrika ndivyo tulivyo" yu wapi NYANI NGABU jamani!
 

Umeona watanzania tulivo na mawazo mgando eehe!? Huyu 2namwita msomi, katoka TZ mpaka India kwa pesa nyingi aidha za babake au za Taifa afu anawaza utumbo! Taifa litafaidika nini sasa kutokana na huyu msomi asiyekuwa na mtizamo chanya? Jiangalie wewe, zinduka.
 

Hivi wewe ni kundi gani la wachaga vile!, Kibosho au machame? Maana kuna mtu katoa mchanganua wa pande za huko!
 
Hivi kwani mnakereka nini alivyosema ametoka ng'ambo?
Naona mmeshupalia hapo utafikiri nini?
Angesema ametoka mpwapwa anakuja dar najua msingemkomalia.
Muacheni jamani, hiyo ni sehemu ya maelezo yake na naona imekuwa muhimu ndio maana tumekazia macho hapo.
Ni mtazamo wangu tu, atakayekwazika basi.
 

Kwa mimi kutoka ng'ambo co issue, bt the issue ana nini kipya cha kujifunza toka ng'ambo kama sehemu ya maendeleo cz wenzetu kidogo wamesogea mbele? Post yake inaonesha kazama kingono zaidi na ulimbukeni wa namna hyo.
Angesema katoka ng'ambo afu anataka kuanzisha project 1 bt kakwama mahara furani na anahitaji mawazo toka kwa wana JF ungeona watu wamemsifia.
Ni mtazamo tu huo!
 
ni pale kimboka bynight? Dah! We humtakii mema huyu ndugu. Zipu ujio wako umekaa kingono ngono kwani hakuna mengine ya maana unayoweza kufanya Tz uliyojifunza huko?

eeee hapo hapo kumbe na ww ni customer??
 

Kijani uko sawa kabisa, hawa ndo hua wanapelekwa na wazazi wao wanarudi na hata vyeti hawana, wamesoma nusunusu, alichosomea hakieleweki, au kama ni kikazi hakuna alichochangia zaidi ya kuzunguka tu.
 




Usikonde mkuu wewe rudi tu nyumbani mambo yatajiseti yenyewe,hiyo kitu wala isikupe wasiwasi kwani ni sawa na mtoto mdogo na ziwa la mama yake,unaweza kusema ni nani aliyemfundisha mtoto kunyonya?
 




Naumia...,Ninaliaaaaaaaaa............:violin::violin::music::music::majani7::majani7::llama::llama::A S-confused1::A S-confused1:
 
:twitch:Mie nashauri anzia Ohio street, hasa kuanzia saa 4 za usiku, pale utapata pa kuanzia!:sick:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…