Nitafute nikupe zawadi yako maana nasema ukweli wangu wanataka nieleze maendeleo gani ya Ng'ambo wakati JK mwenyewe kila siku anakwenda ng'ambo na ameshindwa kutusaidia.......Hivi kwani mnakereka nini alivyosema ametoka ng'ambo?
Naona mmeshupalia hapo utafikiri nini?
Angesema ametoka mpwapwa anakuja dar najua msingemkomalia.
Muacheni jamani, hiyo ni sehemu ya maelezo yake na naona imekuwa muhimu ndio maana tumekazia macho hapo.
Ni mtazamo wangu tu, atakayekwazika basi.
haya ni mambo ya jamii sipaswi kuwaza mengine wakati haya niliyonayo bado sijamaliza kama ni maendeleo nitawaza ulitaka niseme nini nakuja kufungua hospitali?Umeona watanzania tulivo na mawazo mgando eehe!? Huyu 2namwita msomi, katoka TZ mpaka India kwa pesa nyingi aidha za babake au za Taifa afu anawaza utumbo! Taifa litafaidika nini sasa kutokana na huyu msomi asiyekuwa na mtizamo chanya? Jiangalie wewe, zinduka.
haya ni mambo ya jamii sipaswi kuwaza mengine wakati haya niliyonayo bado sijamaliza kama ni maendeleo nitawaza ulitaka niseme nini nakuja kufungua hospitali?
Hivi kwani mnakereka nini alivyosema ametoka ng'ambo?
Naona mmeshupalia hapo utafikiri nini?
Angesema ametoka mpwapwa anakuja dar najua msingemkomalia.
Muacheni jamani, hiyo ni sehemu ya maelezo yake na naona imekuwa muhimu ndio maana tumekazia macho hapo.
Ni mtazamo wangu tu, atakayekwazika basi.
nyamaza wewe unaongea nini?unaleta kikwapa na kichefuchefu hapa.tpuuu...!!
madhara ya kwenda PM haya.nyamaza wewe unaongea nini?unaleta kikwapa na kichefuchefu hapa.tpuuu...!!
kazi kweli kweliUstaarabu umekushinda?
madhara ya kwenda PM haya.
JF vituko haviishi GaijinHivi kwani lazima mtu ajibu PM?
Kisha si wamalizane huko huko?