Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Habari zenu wana JF. Nimefurahi baada ya kumaliza kutumikia kifungo changu cha siku tatu baada ya kupata ban. Ki ukweli sikuwa na raha kabisa kwa kutopata fursa ya kushiriki kikamilifu kwenye mijadala mbali mbali humu ndani ya siku hizo 3.
Sababu za kupewa kifungo ni kutokana na kuwahi siti tatu za mbele kwenye nyuzi tofauti mfululizo pasipo kuchangia chochote cha maana. Hivyo naomba wana JF tuwe wachangiaji wa mada husika na tuache kuwahi siti pasipo na tija.
Asanteni.