Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
ni hilo tu au kuna jengine mkuu??..Habari zenu wana JF. Nimefurahi baada ya kumaliza kutumikia kifungo changu cha siku tatu baada ya kupata ban. Ki ukweli sikuwa na raha kabisa kwa kutopata fursa ya kushiriki kikamilifu kwenye mijadala mbali mbali humu ndani ya siku hizo 3.
Sababu za kupewa kifungo ni kutokana na kuwahi siti tatu za mbele kwenye nyuzi tofauti mfululizo pasipo kuchangia chochote cha maana. Hivyo naomba wana JF tuwe wachangiaji wa mada husika na tuache kuwahi siti pasipo na tija.
Asanteni.
Nenda kwenye uzi wowote wahi siti, au ile first to reply au ngoja waje/wanakuja utafurahia shooNina hamu ya kupewa ban, hivi huwa mnafanyaje?
Nenda kwenye uzi wowote wahi siti, au ile first to reply au ngoja waje/wanakuja utafurahia shoo
Vuta subra tu, utapata hitaji lako hata kama sio leo basi hata kesho [emoji23]Mbona nimewahi siti kwenye uzi flani lakini bado niko tu
Vuta subra tu, utapata hitaji lako hata kama sio leo basi hata kesho [emoji23]
Kweli, japo sio lazima upigwe ban ndo uachane na kushinda humuOk sawa, aisee nami nionje raha ya bhani ili nifanye mambo yangu, mana kushinda humu siyo ishu kabisa