Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses.

Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia sekta binafsi ambayo ndio injini ya uchumi.

Je, kuna bilionea yoyote kabakia kule bungeni?

Ramadan Kareem!
 
Hivi Gwajima yule anayefufuaga wafu hawezi kuwa bilionea?

Maana nasikiaga eti sadaka za pale kwa ibada moja tu ni magunia ya hela bado makanisa yake mikoani na uuzwaji wa vitabu vyake pia au hizo hela anazipelekaga mbinguni?
 
Bilionea Mbowe katisha yaani wamefunga accounts zake za biashara ,wakafunga ya mshahara halafu Bilionea anadunda tu hakuunga mkono juhudi za MEKO.
Tena wamefunga akaunti zote kwa miaka 3 na wakaiba hela zote na kuharibu mashamba hata ya mchicha ! unyama wa kishamba sana ! lakini mwamba hakutikisika .
 
Kwanza nikurekebishe Mbowe hana sekta yoyote ya halali na ya maana kumuingizia pesa zaidi ya sekta hii ya kuwatumia nyumbu na wanywa viloba kama daraja la kufikia mafanikio yake. Hata hawa wanaomtetea humu wengi wamekubali kuuza utu wao kwa sababu ya tamaa za matumbo yao.
 
Back
Top Bottom