johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahhaaaa Mabilionea wawili tu Msukuma na Mwana Fa.Bungeni amebaki billionea msukuma na billionea mwanaFA ingawa juzi kati Tigo wamemtapisha billion zote walizomlipa.
Bilionea Mbowe katisha yaani wamefunga accounts zake za biashara ,wakafunga ya mshahara halafu Bilionea anadunda tu hakuunga mkono juhudi za MEKO.Wakati namtaja Mbowe kama mmoja wa mabilionea duniani kuna makapuku wengi wa ccm walinipinga , sasa naona wengi mmekwishasoma alama za nyakati .
Tena wamefunga akaunti zote kwa miaka 3 na wakaiba hela zote na kuharibu mashamba hata ya mchicha ! unyama wa kishamba sana ! lakini mwamba hakutikisika .Bilionea Mbowe katisha yaani wamefunga accounts zake za biashara ,wakafunga ya mshahara halafu Bilionea anadunda tu hakuunga mkono juhudi za MEKO.
Hakuna waumini masikini kama wanaosali kwa gwajima , ila yeye ana biashara zakeHivi Gwajima yule anayefufuaga wafu hawezi kuwa bilionea?
Maana nasikiaga eti sadaka za pale kwa ibada moja tu ni magunia ya hela bado makanisa yake mikoani na uuzwaji wa vitabu vyake pia au hizo hela anazipelekaga mbinguni?
mwendakwao alidhani akitumia vita ya kiuchumi atamlainisha billionare kumbee wapi hakuunga juhudi kama sumaye na lowassaBilionea Mbowe katisha yaani wamefunga accounts zake za biashara ,wakafunga ya mshahara halafu Bilionea anadunda tu hakuunga mkono juhudi za MEKO.
Tajiri kapiga hela za wabunge wake walizokuwa wakikatwa kila mwezi kwa muda wa miaka 5 plus michango ya wananchi masikini alizokuwa akichangisha wakati wa kampeni. Hakika wajinga ndio waliwaoHakuna waumini masikini kama wanaosali kwa gwajima , ila yeye ana biashara zake
Na billcanas walivunja jamaa upo tuTena wamefunga akaunti zote kwa miaka 3 na wakaiba hela zote na kuharibu mashamba hata ya mchicha ! unyama wa kishamba sana ! lakini mwamba hakutikisika .
humjui Mbowe weweTajiri kapiga hela za wabunge wake walizokuwa wakikatwa kila mwezi kwa muda wa miaka 5 plus michango ya wananchi masikini alizokuwa akichangisha wakati wa kampeni. Hakika wajinga ndio waliwao