NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Moja ya Viongozi Wasiokua na aibu mbele ya mashabiki pale Simba sc ni Try again na Mwenyekiti Mangungu.
Mangungu alishawahi kuwadanganya mashabiki kuwa Manzoki Tayali ameshamaluzana nae na kwenye uchaguzi alimleta Manzoki ili kuwaaminisha mashabiki na mashabiki walimuamini kwa asilimia mia mwisho wa siku Mangungu akapotelea gizani.
Try again (jaribu Tena) kwenye michuano ya kombe la AFL aliwaambia mashabiki kuwa Raisi wa FIFA alipokua amekaa nae alimwambia Simba sc inacheza mpira mzuri kuliko timu zote.
Sasa wamekutana na Fiston Mayele huko Al ahly lazima tu Try again atakuja kuwaambia mashabiki kuwa amekwisha malizana na Fiston Mayele msimu ukimalilizika lazima atatua msimbazi.