Pilipilihoho
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 202
- 145
hahaahahaHa ha ha ha ha ha ha uwiiiiii kuna picha ya kalmati nlitumiwa na masai dada nkajaribu kutengeneza mweh zilivotokea ukiziona waweza dhani vyura
Haiahaha my dia nilisahau kukuuliza unipe matokeHa ha ha ha ha ha ha uwiiiiii kuna picha ya kalmati nlitumiwa na masai dada nkajaribu kutengeneza mweh zilivotokea ukiziona waweza dhani vyura
Niliona hata aibu kukupa mrejesho, yani zilikuwa na shape ya chura ha ha ha zilikuwa tamu lakiniHaiahaha my dia nilisahau kukuuliza unipe matoke
Hahahaha nakumbuka mpenzi hahahaha hapa nacheka hatari
Hahahaqaqa aise lamsingi ziive na ziwe na ladhaNiliona hata aibu kukupa mrejesho, yani zilikuwa na shape ya chura ha ha ha zilikuwa tamu lakini
Niliishia kula mwenyewe hata mezani hazikufikaHahahaqaqa aise lamsingi ziive na ziwe na ladha
Weka picha tuioneHa ha ha ha ha ha ha uwiiiiii kuna picha ya kalmati nlitumiwa na masai dada nkajaribu kutengeneza mweh zilivotokea ukiziona waweza dhani vyura