Baada ya kutumia Dawa Mseto leo hii nimetimiza miaka Mitatu rasmi bila kuugua Ugonjwa wa Malaria

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Kwa mda mrefu kipindi cha nyuma nilikuwa nasumbuliwa na malaria isiyoisha na nilikuwa nikitumia dawa tu za kawaida inatulia na baada ya miezi minne au mitatu malaria ikawa inaanza tena

Hadi kuna kipindi nikahisi yaweza kuwa nina ngoma maana sio bure ikanibidi nikacheki kama ni kweli ili nijue moja kuwa yaweza kuwa kinga haipo sawa, lakini baada ya kucheki nikajikuta nipo negative, yaani dam ipo salama

Dawa nlizokuwa natumia kwa kujitibu malaria zilikuwa ni zile za bei ya 15k hadi 20k ambazo watu wengi ndio huwa wanaziita original, na nlikuwa nazinunua kwenye maduka makubwa yaliyothibitishwa ambayo sio rahisi kuwa na madawa feki lakini cha kushangaza nikikaa miezi minne au sita tu malaria ikawa inarudi pale pale

Hivyo kuna dr mmoja akanishauri kuwa nitumie dawa mseto za malaria amabazo huwa ni bure japo watu wengi wanazizarau na wengine wanaziogopa sababu ya wingi wa vidonge lakini akanambia kuwa ni nzuri sana na zitaleta matokeo mazuri,

Hivyo baada ya kuzitumia mwaka 2015 leo hii natimiza mwaka wa 3 bila kuugua malaria na ukizingatia mimi ni mfanyakazi nnaefanya kazi usiku na mchana na mazingira ya usiku yana mmbu wa kutisha lakini hadi leo hii malaria haijanirudia mwaka wa tatu huu

Na hii sio promo cz dawa zenyewe ni bure tu, ni ushuhuda tu na ushauri... Asanteni
 
Mm sasa natimiza miaka 11 sijaugua maralalia japo dawa hizo zilinitesa sana. Nilitumia hyo dozi bdae dokta akaniambia nishindilie SP baada ya kupona. Saiv hata nilale stendi nipo gado mwanawane
 
Mimi ninaweza kuwa na mwili wa ajabu, Sina kumbukumbu ya kuugua ugonjwa wowote, sikuwahi kusikia joto kali wala baridi kali hata nikikaa kwenye. mikoa ya baridi au joto, siwezi kulala nimekaa ama bila shuka hata iweje.
 
Aisee i as well recommend mseto to everyone,malaria ilinitesa saaaana...yani kila baada ya miez miwil..lakin tangu last yr mwez wa nne hadi leo,niko poa tu..mseto!
 
Mie sikumbuki hata lini niliumwaga malaria, nadhani ni zaidi imeshapita
 
Mhhhm, wengine toka tuzaliwe hatuji radha ya dawa za malaria, nimeng'atwa na mbu hapo darisalamu ka mwaka mmoja lakini wapi, nimekaa tabora miaka miwili huku mbu ni balaa, lakini hamna, mda mwingine huwa najiuliza kwa nini huwa siumwi malaria au chango nili zopewaga utoton mpaka leo zinanilinda maana nilichomwa bega la kulia, nikachomw bega la kushoto, nikaja chomwa kwe nye paja la kulia, mpaka hapo ugonjwa wangu ni minyoo tuhh nayo ni kwa mwaka mara moja au mwaka unaweza pita kabisa,

Namshukuru aliye juuu, kwa kuniwekea ulizi mkali sanaaa
 
Unaishi mkoa gani?mimi tangu nihamie iringa toka dar mwaka 2010 sijaugua malaria. Nilipokuwa dsm hata kama siumwi nikienda kupima lazima nikutwe na malaria
 
Kwa mda mrefu kipindi cha nyuma nilikuwa nasumbuliwa na malaria isiyoisha na nilikuwa nikitumia dawa tu za kawaida inatulia na baada ya miezi minne au mitatu malaria ikawa inaanza tena

Hadi kuna kipindi nikahisi yaweza kuwa nina ngoma maana sio bure ikanibidi nikacheki kama ni kweli ili nijue moja kuwa yaweza kuwa kinga haipo sawa, lakini baada ya kucheki nikajikuta nipo negative, yaani dam ipo salama

Dawa nlizokuwa natumia kwa kujitibu malaria zilikuwa ni zile za bei ya 15k hadi 20k ambazo watu wengi ndio huwa wanaziita original, na nlikuwa nazinunua kwenye maduka makubwa yaliyothibitishwa ambayo sio rahisi kuwa na madawa feki lakini cha kushangaza nikikaa miezi minne au sita tu malaria ikawa inarudi pale pale

Hivyo kuna dr mmoja akanishauri kuwa nitumie dawa mseto za malaria amabazo huwa ni bure japo watu wengi wanazizarau na wengine wanaziogopa sababu ya wingi wa vidonge lakini akanambia kuwa ni nzuri sana na zitaleta matokeo mazuri,

Hivyo baada ya kuzitumia mwaka 2015 leo hii natimiza mwaka wa 3 bila kuugua malaria na ukizingatia mimi ni mfanyakazi nnaefanya kazi usiku na mchana na mazingira ya usiku yana mmbu wa kutisha lakini hadi leo hii malaria haijanirudia mwaka wa tatu huu

Na hii sio promo cz dawa zenyewe ni bure tu, ni ushuhuda tu na ushauri... Asanteni
Ndugu naomba nikujulishe kuwa siku hizi malaria hakuna ,kama kuna sehemu ya TZ yapo basi kwa kiasi kidogo saaaana
 
Hongereni ambao MSETO inawatibu....Mie Binafsi hii Dawa yani hainitibu ata chembe yani nikimaliza dozi yake nikimaliza wiki sijarudi hospital ni Bahati
 
Kwa mda mrefu kipindi cha nyuma nilikuwa nasumbuliwa na malaria isiyoisha na nilikuwa nikitumia dawa tu za kawaida inatulia na baada ya miezi minne au mitatu malaria ikawa inaanza tena

Hadi kuna kipindi nikahisi yaweza kuwa nina ngoma maana sio bure ikanibidi nikacheki kama ni kweli ili nijue moja kuwa yaweza kuwa kinga haipo sawa, lakini baada ya kucheki nikajikuta nipo negative, yaani dam ipo salama

Dawa nlizokuwa natumia kwa kujitibu malaria zilikuwa ni zile za bei ya 15k hadi 20k ambazo watu wengi ndio huwa wanaziita original, na nlikuwa nazinunua kwenye maduka makubwa yaliyothibitishwa ambayo sio rahisi kuwa na madawa feki lakini cha kushangaza nikikaa miezi minne au sita tu malaria ikawa inarudi pale pale

Hivyo kuna dr mmoja akanishauri kuwa nitumie dawa mseto za malaria amabazo huwa ni bure japo watu wengi wanazizarau na wengine wanaziogopa sababu ya wingi wa vidonge lakini akanambia kuwa ni nzuri sana na zitaleta matokeo mazuri,

Hivyo baada ya kuzitumia mwaka 2015 leo hii natimiza mwaka wa 3 bila kuugua malaria na ukizingatia mimi ni mfanyakazi nnaefanya kazi usiku na mchana na mazingira ya usiku yana mmbu wa kutisha lakini hadi leo hii malaria haijanirudia mwaka wa tatu huu

Na hii sio promo cz dawa zenyewe ni bure tu, ni ushuhuda tu na ushauri... Asanteni
Ndugu mshukuru Mungu hujaugua malaria maana haina uhusiano na hiyo dawa,dawa haikai mwilini muda wote,unapomeza dawa za ALU inauawa vijidudu vilivyoko kwe damu na kidogo kiasi kwenye ini,vijijuju vya malaria huletwa na mbu na huingia mwilini unapong'atwa na mbu,baada ya hapo huingia kwenye damu na kwenda hadi kwenye ini ili kukamilisha ukuaji wake na baada ya hapo hutoka inini kuja kwenye mzunguko wa damu na hapo ndipo unapata homa ya malaria.
Kwa ufupi,wewe hujapata malaria kwa sababu hujang'atwa na mbu mwenye vijidudu
 
Back
Top Bottom