Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
It sounded like a Kiki before, ila shortly after hearing jack Mini interview , kuwa walikua wana date na jamaa and it has been only two weeks ndipo jamaa akaamua kumchumbia, mind you nasikia jamaa akawa anamlazimisha wolper Sijui wafanye biashara flan hivi , sasa Naona jamaa kama alikua anataka push apate kiki . Pia Jacky alikua analalamika jamaa alikua anamfuata kazin na kumlazimisha waondoke wote saa mbili usku wakat yeye amezoea kukaa kazin kwake mda mrefu zaidi kwa ajili ya wateja wake.

What I’m seeing it’s either kweli inaweza kuwa kiki , or jamaa just wanted to use Jacky kwa gear ya ndoa and all that hili atimize matakwa yake ya biashara.

But I put all the blame kwa Jacky, you are beautiful, una jituma na una umaarufu wa kutosha why ujiingize kwenye mahusiano na vijana wasioleweka , jacky wa kudate na kina meja? , chidy ? , yani ukichek background ya wanaume anaodate wolper kwa kweli it’s pathetic , they say love is blind but https://jamii.app/JFUserGuide it , unashindwa mpaka na mtoto mdogo kama lulu ? Shame on you , tunajua huna elimu na pia uwezo wako wa kufikiri na exposure uliyonayo ni ndogo , hakuna mwanaume wa maana utakayezana naye kama usipobadilika
 
Hvi mwanaume wa maana huwa hasa wa namna gan?!!...yaani ni ile kuwa na hela ?!!


Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app

Hapana sio pesa pekee, mwanaume tu anayejielewa , kuna wanaume na wavulana, sasa kwa umri wa wolper sio wa kudate na wavulana , atafute size yake au hata akipata Dogo Dogo , wawe wanaeleweka basi
 
Umempa ukweli asipofuata ushauri wako huu ndoa atazisikia kwa wengine. Kwa uzuri ule ni kwamba hajaona mwanaume wa maana huko mtaani au ni lazma ukiwa celebrity sharti u date n celebrity mwenzako?
 
Back
Top Bottom