Baada ya kuvisha pete ya uchumba, Chidy Design amkana Wolper

Wolper anapenda vibenten tu nadhan vinamshughulukia haswa sijui aisee young killer alivyo mdogo
Meja kunta [emoji849]
 
Ila nadhani na nawaza kwa sauti ile papuchi yake itakuwa na sugu aisee au ndio maana walidai inatema puya sana
 
And she is very stupid not to realize that , yan easy going mpaka linatia hasira Yan , mtu mzuri lakini hana class , lipo lipo tu linabebwa hadi na wasukuma mikokoton Yan linaniudh mxieww
Wabongo kinafiki kupiga kelele kuhusu ya George Floyd na Ubaguzi Marekani.
Kumbe sie wenyewe ndo wabaguzi namba moja.
Kwamba sie wasukuma mikokoteni hatustahili kutembea na WATOTO wazuri eeh!!?
Haya bana. Kwa kweli ubaguzi hautaisha sio Marekani tu bali dunia nzima.
#SimbaMwendaPole ndo mla nyama.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu ni dhambi sana kutembea na msukuma mkokoteni wakati kuna wengine wanasukuma klugger, x6 n. K au binamu warumi unasemaje?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu ni dhambi sana kutembea na msukuma mkokoteni wakati kuna wengine wanasukuma klugger, x6 n. K au binamu warumi unasemaje?
Ndo maana sisi wengine huwa tunaazima hayo ma X6 [hata sijui ni kitu gani] 🤣🤣🤣🤣
 
Ndo maana sisi wengine huwa tunaazima hayo ma X6 [hata sijui ni kitu gani] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo tunategemeana unafikiri wanaomiliki rental cars watakula wapi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu ni dhambi sana kutembea na msukuma mkokoteni wakati kuna wengine wanasukuma klugger, x6 n. K au binamu warumi unasemaje?
Na anayesukuma X6, Klugger etc. naye ana type za wachuchu zake hachukui chukui mediocre tu. With Great Power comes Great Responsibility..... Wamikokoteni na wale wa X6 wote wanakula "mademu"
Nikifikia kwenye Klugger kuna michuchu mediocre sichukui, na kila miezi kadhaa nabadili mchuchu...
Sasa imagine ningekuwa kwenye X6 [emoji1787] #Polygamy #Polygamous
 
Reactions: amu
Nikiwa na wewe kwenye mkokoteni ukapata klugger ukaniacha nakuendea kukuroga [emoji56][emoji56][emoji56]
 
You dropped a major fact lady! Wanahisi wanaume wa maana ni wenye pesa tu kumbe ishu ni kupata mwanaume mwenye nidhamu hata kama hana pesa nyingi ila anayejali. Wanawake wenye akili na kujitambua ndio hugundua hilo.
Hii comment ya Hannah imewapa mtelezo mabaharia wote wasio na pesa.

Faraja ni kitu cha msingi sana maishani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shishi funga kazi.....alifanya maamuzi ya busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…