Baada ya kuwa mlokole

Umejibu theluthi ya swali.Kwa hiyo kwako dhambi ni uzinzi pekee?
Kwa mtazamo wangu dhambi hii naiona ni ya kipekee....kwani nilikuwa nimewasahau lakini ghafla kumbukumbu zinanijia mmoja baada ya mwingine.
 
128 wewe bado mwanafunzi kwenye hayo mambo. Sisi wengine hiyo ni idadi ya mwaka mmoja. Sasa toka nimeanza kufanya uzinzi hadi leo mabasi ya abood naweza kujaza hata 15 ama 20.
Uko sahihi
 
Wakifikia 200 basi utakuwa umefikisha nusu ya idadi ya waliyotembea na mkeo.
Kabisa
Zingatia mimi ni baba yako na ni mume wa mama yako.
Umemtusi mama yako.
Karibu na asante.
 
Amen amen
Ubarikiwe mpendwa
Haleluya
 
Mbona wachache hivyo πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Na kutubu pia
Haleluya
Unatubu nini kitu ambacho hakipo ewe Mgalatia usiye na akili?
Hivi unajua Mungu akikusamehe Dhambi yako licha ya kua yeye ni Mungu anayejua yote ni kwamba anakua ni hajui kama ulishawahi kua na Dhambi hii inatokana na utakatifu wake na ameweka utaratibu huu,

Ukimkiri Yesu kua ni Bwana na ya kwamba alikufa na kufufufuka kutoka wafu na ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba automatically huyo Yesu anakaa ndani yako yaani ni hivi ndugu
Mungu anavyokutazama ni hakuoni wewe sababu wewe ulishakufa katika mwili na kuzaliwa katika Roho kwa kile alichokifanya Yesu pale Msalabani hivyo wewe huonekani ila wewe anakuona ndiwe Yesu mwenyewe maana ulisulubiwa nae,ukafa nae nae ukafufuka nae
Broo wewe ni Mtakatifu aisee hivi unajua kwa nini Injili inaitwa habari njema?

Yaani ni kila kitu ulifanyiwa na Bwana Yesu wewe huna mchango wowote zaidi ya kusema asante,
Wahubiri wengi hawajui hii siri iliyo wazi wazi sijui wanakwama wapi
Hasa hasa walokole ndio mnatabu nyie mnajifanya kumsaidia Yesu kazi aliyokwisha ikamilisha
Hebu njoo chemba nikupe madini yatakayokuweka huru ili uufurahie wokovu ni very easy man!!!!!!

Bwana Yesu asifiwe nzalendo
 
Amen amen
Nashuru kwa kunipa madini na kunitia moyo katika safari ya kipekee hapa duniani.
Nakiri mimi ni mchanga sana katika ulimwengu wa UTAKATIFU.
Bwana Mungu akubariki na kukulinda.
 
Mbona wachache hivyo πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Kwangu ni wengi mno kutokana na asili ya familia ya kwetu.
Hivyo nimeamua kuacha na kutubu.
Mtihani ni hizi kumbukumbu hasi
Haleluya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…