Utampata mkuu sawasawa na mapenzi yako.
Kuna koment ,imenifanya nimuone alokoment ni mpuuzi kama walivyo wapuuzi wengone...anasema.....*hii ni njia ya kulegeza vyuma**
Sijui nani kamwambia mwanamke akiwa above 31 basi anapesa ??? Ujinga wa wapi huu.
Utampata Mkuu, kuna wadada humu ,hawaonekani ila ni wazuri mno na wanaitaji ndoa.