dUH...NANI HUYO?nyie mikia efusi a.k.a matopeni efusi a.k.a mbumbumbu efusi a.k.a wachumba efusi a.k.a Kikundi cha ushangiliaji efusi a.k.a bunju efusi a.k.a wapanda boti efus a.k.a bunju efusi endeleeni kupanua midomo yenu na kusahau ya kwenu msimu huu tutawageuza nyumbani na ugenin kama msimu ulopita coz naona mnaendelea kuiiimarisha kuwa kikundi bora cha ushangiliaji na mnawarudisha akina mavugo
hivi nana aliwaroga nyie akina SEREKU** FC a.k.a VIHEREHERE FC
nyie mikia efusi a.k.a matopeni efusi a.k.a mbumbumbu efusi a.k.a wachumba efusi a.k.a Kikundi cha ushangiliaji efusi a.k.a bunju efusi a.k.a wapanda boti efus a.k.a bunju efusi endeleeni kupanua midomo yenu na kusahau ya kwenu msimu huu tutawageuza nyumbani na ugenin kama msimu ulopita coz naona mnaendelea kuiiimarisha kuwa kikundi bora cha ushangiliaji na mnawarudisha akina mavugo
hivi nana aliwaroga nyie akina SEREKU** FC a.k.a VIHEREHERE FC
Hivi mlikulaga ngapi vile? Sio 3G kweli[emoji23] ! Bora sisi kamoja!Yeye amesahau kuwa siku TP Mazembe wamekuja kucheza na Simba Fc wana yeboyebo waliunda kikundi kizuri cha ushangiliaji na wakavaa jezi za Tp leo ni nini kinawauma au ndo kusema kuwa siku hiyo walifanya nini?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kimoja cha nguruwe watoto watatu, I mean mmepigwa kimoja tu lakini na hicho kimoja kimezaa point tatu muhimu kwa TP MazembeHivi mlikulaga ngapi vile? Sio 3G kweli[emoji23] ! Bora sisi kamoja!
ivi Mazembe wameona hata mchezaji mmoja anayewafaa kutoka yanga? simba was defeated 3-2 lakini mazembe wakachukua 3 players from simbaHivi mlikulaga ngapi vile? Sio 3G kweli[emoji23] ! Bora sisi kamoja!
Mbulul..........AYeye amesahau kuwa siku TP Mazembe wamekuja kucheza na Simba Fc wana yeboyebo waliunda kikundi kizuri cha ushangiliaji na wakavaa jezi za Tp leo ni nini kinawauma au ndo kusema kuwa siku hiyo walifanya nini?