Baada ya lady jaydee kununua Range, mgahawa wake(Nyumbani lounge) wabomolewa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Katika kuonyesha jeuri ya fedha, mwanamuziki lady jaydee baada ya kununua mkoko wake mpya wa bei mbaya, sasa kaamua kuukarabati mgahawa wake kwa kubomoa mgahawa huo na kuamua kuutengeneza upya.

Hizi ni baadhi ya picha za nyumbani lounge baada ya kubomolewa na alichokiandika lady jaydee kwenye mtandao wa instagram.
 
Attachments

  • 1390411605874.jpg
    48.7 KB · Views: 1,807
  • 1390411674997.jpg
    54.9 KB · Views: 1,655
hongera zake binti komando,waonyeshe hao ma bongo movie kuwa mafanikio hayapatikani kwenye sembe tu,bali mipango madhubuti na kuweka mbele jitihada halali.
 
mmmh...huyu lady jay dee sasa napata nae mashaka na hizo hela zake za gafla,mtu anaetafuta pesa takatifu huwa hajionyeshi maisha yake kwenye mitandao ya kijamii,cku zote pesa halali uwa inaongea yenyewe pasipo mmiliki wa hiyo hela kuongea
 
Mim namkubali sana huyu dada ni mpiganaji wa maisha kweli kweli.
Bila shaka mafanikio yake yanatokana na kuwa kwenye ndoa.
 
Ngoma ikipigwa sana mwisho wake ni kupasuka,muda utafika
 
hongera zake binti komando,waonyeshe hao ma bongo movie kuwa mafanikio hayapatikani kwenye sembe tu,bali mipango madhubuti na kuweka mbele jitihada halali.

Umejuaje kama sio za sembe? Kwani na yeye hajatokea kwa ruge?
 
mmmh...huyu lady jay dee sasa napata nae mashaka na hizo hela zake za gafla,mtu anaetafuta pesa takatifu huwa hajionyeshi maisha yake kwenye mitandao ya kijamii,cku zote pesa halali uwa inaongea yenyewe pasipo mmiliki wa hiyo hela kuongea

sidhani kama kapata fedha ghafla kwa jinsi ninavyomfahamu huyu dada kaanza long time tangu enzi za siri yangu na hadi leo bado yuko kwenye gemu
big up komando
 
Kuna dogo mmoja AY huwa namkubali sana huyu dogo Mungu amsaidie tu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…